Habari za asubuhi kaka Michuzi,
Naomba kutumia fursa hii kuwataarifu wadau kwamba brother Willie Maluwe ambaye alikuwa DJ wa Sea View disko-tek miaka ya mwisho wa sabini, mpenzi mkubwa wa muziki hasa wa marehemu Ndala Kasheba na Mzee King Kikii, pia ni baba wa Michael, Simona na Simon Maluwe amefariki dunia jana usiku hospitali ya amana ilala.
Msiba uko nyumbani kwake Ilala NHC Flats, nyuma ya hospitali ya Amana.Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya kaka yetu William Maluwe.regards,
Inno Mosha
Inno Mosha
DSM - TZ, EA.
Nakumbuka alizaa mtoto na mdogo wake Stella Gwao. Mwenyezi mungu amlaze mahala pema peopni,amina
ReplyDeleteHe was a man of his own, a very unique person. RIP
ReplyDeleteViv
RIP
ReplyDeleteRIP William Maluwe
ReplyDeletemungu akulaze mahala pema peponi tulikua tukisali wote msimbazi
ReplyDelete