Home
Unlabelled
twangaz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mbona huyo dada anamkimbia sijui ndio buzi lake lisimkumbatie?Anaiba nini??
ReplyDeleteMisupuu na wewe,utafanya watu waachike.
huyo msichana aliyekaa kitini kati amechemsha sana sasa ndio nini kumkwepa jamaa haivyo kaharibu picha hiyo kwa nini asiondoke kama alikuwa hataki kuoneka close na jamaa, hapo anakunywa bia zake ila hataki picha itoke yupo close na jamaa.baniani mmbaya.....
ReplyDeletesi muda utamuweka kwa blog AM tena.
ReplyDeleteZa wabongo hizo kanywa bia za watu...wakiondoka hapo wako pamoja wanaenda nyumbani kwake lakini hadharani hataki kuonekada kuwa wako pamoja...kesho anakatoto kachotara...ouch aacheni hizo ekeni vitu hadharani....
ReplyDeleteEe bwana Michu...Huko Bongo mnakula raha kweli haisee. Yaani mambo ya Twanga na bendi zingine live kweli inaniacha hoi. yaani siwezi kungoja siku ya kufika huko lazima tule sahani moja tu katika mambo ya Twanga. BIG UP!
ReplyDeleteMichuzi huyo Mzungu hapo umemshika BOSHENI tu hiyo ili tusikubondee unavyopenda kupiga picha na wanawake.
ReplyDeleteLengo lako kubwa ilikuwa kumshika huyohuyo wa huko juu uliyemshika.
Tehe! teh Tee! tee!
Mzungu anaonekana kama 'scared deer in the headlights'. Sasa huyo dada alikuwa naye au vipi, naona kamkibilia shoga yake.
ReplyDelete