wadau nilokutana nao jana twanga pepeta nikipozi nao baada ya kuniambia kuwa hawakosi kutembelea blogu yetu hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2007

    mbona huyo dada anamkimbia sijui ndio buzi lake lisimkumbatie?Anaiba nini??

    Misupuu na wewe,utafanya watu waachike.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2007

    huyo msichana aliyekaa kitini kati amechemsha sana sasa ndio nini kumkwepa jamaa haivyo kaharibu picha hiyo kwa nini asiondoke kama alikuwa hataki kuoneka close na jamaa, hapo anakunywa bia zake ila hataki picha itoke yupo close na jamaa.baniani mmbaya.....

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2007

    si muda utamuweka kwa blog AM tena.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 10, 2007

    Za wabongo hizo kanywa bia za watu...wakiondoka hapo wako pamoja wanaenda nyumbani kwake lakini hadharani hataki kuonekada kuwa wako pamoja...kesho anakatoto kachotara...ouch aacheni hizo ekeni vitu hadharani....

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 10, 2007

    Ee bwana Michu...Huko Bongo mnakula raha kweli haisee. Yaani mambo ya Twanga na bendi zingine live kweli inaniacha hoi. yaani siwezi kungoja siku ya kufika huko lazima tule sahani moja tu katika mambo ya Twanga. BIG UP!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 11, 2007

    Michuzi huyo Mzungu hapo umemshika BOSHENI tu hiyo ili tusikubondee unavyopenda kupiga picha na wanawake.
    Lengo lako kubwa ilikuwa kumshika huyohuyo wa huko juu uliyemshika.
    Tehe! teh Tee! tee!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 11, 2007

    Mzungu anaonekana kama 'scared deer in the headlights'. Sasa huyo dada alikuwa naye au vipi, naona kamkibilia shoga yake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...