naomba nimtambulishe kwenu katunisti mwingine aitwaye ahmed viriyala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2007

    kama ni mtanzania FALAA TU

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2007

    Man i dont know what this guy Viriyala was thinking about, but this is brilliant...simple and clear msg..Our president ni msanii anauza sura tu...damn this guy is good, spank Kipanya's ass..big up Viriviri man!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2007

    JAMANI WADAU MNAONAJE BAJETI YA WAZIRI WA CASH!! SANAA TUPU!! TUJADILI BASI, MIMI KWA KUANZIA SIIZIMII HATA KIDOGO KUNA USHURU UNAPANDA KWA ASILIMIA 100 JAMANI SIJAWAHI ONA, HII SERIKALI AU KUNDI LA SANAA...PSE PRESIDENT NA WASHKAJI ZAKO ACHENI USANII, KAMA UMESHINDWA KAZI JIUZULU JAMANI MBONA UNABABAISHA HIVYO!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2007

    ur guud man

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2007

    Representing an average Tanzanian way of thinking. When we vote for someone, we don’t really pay attention on issue of vital importance to us such as economy, foreign affairs, jobs, education etcetera. Politicians know that we are dumb and they take advantage of us. Great job Ahmed!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 15, 2007

    Imetulia sana!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 15, 2007

    EXCELLENT!!!!! and BOLD!!!

    We want more!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 15, 2007

    Duh! ina maana prezoo ni Mr misifa? Aluu hiyo ya kufungia mwezi

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 16, 2007

    hehehehe...imetulia mnooooooo.its sad jamaa alikosa cha kujivunia kuhusu rais wake.

    copy kwa JK hii catoon.Ujumbe mzuri sana huu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 16, 2007

    wow! Thats wonderful! Keep it up man! Kazi nzuri na ndio hali halisi ya mambo nchini kwetu.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 16, 2007

    Surely, yani umepatia kweli! I wish cc: could have reach to State house, unless otherwise the message can not be reachable! very inteligent kipanya keep it up! naomba itoe kwenye gazeti monday, ntakupa zawadi, sababu utakuta hatembelei blog mara kwa mara lakini gazeti ni rahisi! thanx ni hayo tu.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 17, 2007

    Hii sasa kali yaani umalaya wa Kikwete ushakuwa dili sasa, yaani president mzima anajisifia sura!!! Nchi ndo hivyo tena imekwisha ndo anamalizia huyu malaya, hakuna cha ziada yaani mambo ni ndivyo sivyo...Rais kichekesho mpaka basi...how can u propose for the oil to rise in tarriff from 100 to 200tshs. thats equals 100% worth of rise motherfucker!!!Rais mchovu tu

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 18, 2007

    anony mwenye english nyingi wa saa tatu na dakika arobaini na mbili katunisti huyu sio Kipanya,ni viriyala, huko ulaya hamna dagaa usome vizuri? Ingekuwa KP angetumia Kiswahili na ungemwona Kipanya

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 18, 2007

    afadhali umeiweka na wadau wamesoma na kutoa maoni yao nimefurahi mzee michuuuu. Hii ni katuni lakini inamafunzo kwetu.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 18, 2007

    Michu,
    Nadhani ingekuwa busara kuanzisha mjadala wa bajeti,ili tuweze pata nafasi ya Kuzisaidia wizara husika jinsi ya kukuza mapato badala ya kung'ang'ana na chanzo kimoja tu.
    Kwamfano, nimewahi kucheki maswali na majibu ya Bunge nikagundua Tanesco inawateja wasiofika LAKI TANO NCHI NZIMA!!(Nakubali masahihisho)Hebu tuongee ukweli ni hela ngapi hapo zinapotea? Nahisi kuna vyanzo vingi vya mapato bado havijaguswa na pengine havina madhara kwa wananchi wa hali ya chini kama ilivyonishati ya mafuta na usafiri kwa ujumla.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...