Home
Unlabelled
viriyala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kama ni mtanzania FALAA TU
ReplyDeleteMan i dont know what this guy Viriyala was thinking about, but this is brilliant...simple and clear msg..Our president ni msanii anauza sura tu...damn this guy is good, spank Kipanya's ass..big up Viriviri man!!
ReplyDeleteJAMANI WADAU MNAONAJE BAJETI YA WAZIRI WA CASH!! SANAA TUPU!! TUJADILI BASI, MIMI KWA KUANZIA SIIZIMII HATA KIDOGO KUNA USHURU UNAPANDA KWA ASILIMIA 100 JAMANI SIJAWAHI ONA, HII SERIKALI AU KUNDI LA SANAA...PSE PRESIDENT NA WASHKAJI ZAKO ACHENI USANII, KAMA UMESHINDWA KAZI JIUZULU JAMANI MBONA UNABABAISHA HIVYO!!!
ReplyDeleteur gud
ReplyDeleteur gud
ReplyDeleteur guud man
ReplyDeleteRepresenting an average Tanzanian way of thinking. When we vote for someone, we don’t really pay attention on issue of vital importance to us such as economy, foreign affairs, jobs, education etcetera. Politicians know that we are dumb and they take advantage of us. Great job Ahmed!
ReplyDeleteImetulia sana!
ReplyDeleteEXCELLENT!!!!! and BOLD!!!
ReplyDeleteWe want more!
Duh! ina maana prezoo ni Mr misifa? Aluu hiyo ya kufungia mwezi
ReplyDeletehehehehe...imetulia mnooooooo.its sad jamaa alikosa cha kujivunia kuhusu rais wake.
ReplyDeletecopy kwa JK hii catoon.Ujumbe mzuri sana huu.
wow! Thats wonderful! Keep it up man! Kazi nzuri na ndio hali halisi ya mambo nchini kwetu.
ReplyDeleteSurely, yani umepatia kweli! I wish cc: could have reach to State house, unless otherwise the message can not be reachable! very inteligent kipanya keep it up! naomba itoe kwenye gazeti monday, ntakupa zawadi, sababu utakuta hatembelei blog mara kwa mara lakini gazeti ni rahisi! thanx ni hayo tu.
ReplyDeleteHii sasa kali yaani umalaya wa Kikwete ushakuwa dili sasa, yaani president mzima anajisifia sura!!! Nchi ndo hivyo tena imekwisha ndo anamalizia huyu malaya, hakuna cha ziada yaani mambo ni ndivyo sivyo...Rais kichekesho mpaka basi...how can u propose for the oil to rise in tarriff from 100 to 200tshs. thats equals 100% worth of rise motherfucker!!!Rais mchovu tu
ReplyDeleteanony mwenye english nyingi wa saa tatu na dakika arobaini na mbili katunisti huyu sio Kipanya,ni viriyala, huko ulaya hamna dagaa usome vizuri? Ingekuwa KP angetumia Kiswahili na ungemwona Kipanya
ReplyDeleteafadhali umeiweka na wadau wamesoma na kutoa maoni yao nimefurahi mzee michuuuu. Hii ni katuni lakini inamafunzo kwetu.
ReplyDeleteMichu,
ReplyDeleteNadhani ingekuwa busara kuanzisha mjadala wa bajeti,ili tuweze pata nafasi ya Kuzisaidia wizara husika jinsi ya kukuza mapato badala ya kung'ang'ana na chanzo kimoja tu.
Kwamfano, nimewahi kucheki maswali na majibu ya Bunge nikagundua Tanesco inawateja wasiofika LAKI TANO NCHI NZIMA!!(Nakubali masahihisho)Hebu tuongee ukweli ni hela ngapi hapo zinapotea? Nahisi kuna vyanzo vingi vya mapato bado havijaguswa na pengine havina madhara kwa wananchi wa hali ya chini kama ilivyonishati ya mafuta na usafiri kwa ujumla.