Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2007

    Maggid

    Nimefurahishwa na mtundiko wako kuhusu jamaa anayekuja na jina la Ngono. Kwa kweli huyu mtu ni mharibifu sana. Maana amekuwa akienda kwenye site za watu na kutundika link za ngono. Watu walimpigia sana kelele naye akawa anatoa matusi kuwa anayetaka asiingie kwenye site yake. Bloggers kibao walikuwa wanamkumbatia huyu, maana alikuwa anaweka link zake humo nao wanafurahi. Bloggers kama Chemi alikuwa naye sana huyu.

    Big Up Wewe na Michuzi, ingawa naye Michuzi aliteleza maana last week alifanikiwa kupost link yake kwake.

    Hapo nakupa tano na hesima ya kijiji milele

    Sele

    ReplyDelete
  2. Kaka
    Nimefurahishwa na mtundiko wako kwa Maggid kuhusu jamaa anayekuja na jina la Ngono. Kwa kweli huyu mtu ni mharibifu sana. Maana amekuwa akienda kwenye site za watu na kutundika link za ngono. Watu walimpigia sana kelele naye akawa anatoa matusi kuwa anayetaka asiingie kwenye site yake. Bloggers kibao walikuwa wanamkumbatia huyu, maana alikuwa anaweka link zake humo nao wanafurahi. Bloggers kama Chemi alikuwa naye sana huyu.

    Hapo nakupa Tano na tutaendelea kukutembelea kama kawaida

    Sele

    ReplyDelete
  3. Kamkosa panya halisi na sasa kampata "mdogo'ake", ki-mouse!

    Kaadhi kwelikweli

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2007

    Hmmm! If you have nothing important to say it is better to keep quiet! I don't get the logic of posting that pic on this forum. You need another vacation to Ukerewe or Dumilla.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 12, 2007

    huyu paka ni kinyamkera, toka lini paka akamate mouse. michu unatuletea mambo ya vinyamkera siyo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 12, 2007

    No, cha kushangaza paka hajapanuwa mdomo, hiyo meaooow anayosema hata mdomo hafungui? pili huyo panya si angelala mbele, kwa kitendo cha mlio wake mmoja tu wa meaaaaaaaaaaoow michuzi acha miyeyu bwana!!!!!
    BIG UP ANYWAY!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 12, 2007

    Hi! wewe unaejifanya mzungu kuwa kama Michu hana chakufanya bora anyamaze, nadhani wewe ndio unatakiwa kwenda holiday kwani unaelekea uko very stressed, until you can't understand the joke in it. Chill up take it easy as you are looking at a cartoon.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 13, 2007

    anonymous wa july 12 at 10:57 am Eat. umenichekesha sana tena sana yani wewe unanini hasa ulibukeni au shule hajapanda. yani hujui hata maana ya neno hili meaaaaaooow!! michu kakusudia nini, hata mtoto wachekechea ukimuliza nini maana ya meaaaaaoow!! atakuambia ni paka na hapo michu kamuweka paka na kakusudia paka huyo kanga'ta hiyo mouse na si lazima awe amefungu mdomo wake na kulia neno hilo. hebu kuwa na fikra za kupabanua wewe unatia aibu katika hii blog kuropoka ropoka ovyo kwa vile michu ni mstaarabu ndo maana kakuwekea hii comment yako ili waonya vinywa wenzio tukukosoe na tuona mapungufu yako. kichwa maji weee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...