mdau edgar nannyambe (kulia) akipongezwa baada ya kulamba nondozz yake ya masters of physiotherapy katika chuo kikuu cha university of the western cape huko sauzi. hivi sasa anarudi nyumbani kuendelea na kazi yake katika hosptali ya ndanda iliyoko wilayani masasi mkoani mtwara. hongera sana mdau edgar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Cherekochereko Baba Abate. Hongera sana kwa mafanikio hayo. Tunakutakia safari njema kurudi home.

    ReplyDelete
  2. HIKI CHUO KIKUU CHA UNIVERSITY NI MAARUFU SANA.

    ReplyDelete
  3. Michuzi usitukatishe tamaa. ukisahihiswa si sababu ya kuminya comments. Tafadhali uziweke tu wazi wazi. Nilikwambia kuwa hakuna kitu kama masters of physiotherapy bali labda Master (of Science) degree in physiotherapy

    ReplyDelete
  4. Hongera mdau,Wagonjwa wanakusubiri kwenda kuwasuguwa migongo
    mweeee!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...