
mdau edgar nannyambe (kulia) akipongezwa baada ya kulamba nondozz yake ya masters of physiotherapy katika chuo kikuu cha university of the western cape huko sauzi. hivi sasa anarudi nyumbani kuendelea na kazi yake katika hosptali ya ndanda iliyoko wilayani masasi mkoani mtwara. hongera sana mdau edgar
Cherekochereko Baba Abate. Hongera sana kwa mafanikio hayo. Tunakutakia safari njema kurudi home.
ReplyDeleteHIKI CHUO KIKUU CHA UNIVERSITY NI MAARUFU SANA.
ReplyDeleteMichuzi usitukatishe tamaa. ukisahihiswa si sababu ya kuminya comments. Tafadhali uziweke tu wazi wazi. Nilikwambia kuwa hakuna kitu kama masters of physiotherapy bali labda Master (of Science) degree in physiotherapy
ReplyDeleteHongera mdau,Wagonjwa wanakusubiri kwenda kuwasuguwa migongo
ReplyDeletemweeee!