jk atahutubia umoja wa mataifa siku ya alhamisi septemba 17 mida ya kati ya saa 3 asubuhi na saa sita mchana. chini pana kiunganisho cha ratiba ya watoa hotuba.
mkutano unaanza leo mpaka tarehe 3 mwezi ujao kwa kuangalia moja kwa moja toka U.N kongoli kiunganisho hapo chini
http://www.un.org/webcast/
http://www.un.org/webcast/ga/62/
mkutano unaanza leo mpaka tarehe 3 mwezi ujao kwa kuangalia moja kwa moja toka U.N kongoli kiunganisho hapo chini
http://www.un.org/webcast/
http://www.un.org/webcast/ga/62/
september 17 kwa kalenda ya marekani kwani kwa kalenda ya afrika mashariki na kati imepita.
ReplyDeleteMichuzi.
ReplyDeleteJK atahutubia Septemba 17 au Septemba 27 bwana?
Mbona septemba 17 imeshapita?
Sahihisha tafadhali
mweh! sijui ataongea nini jk wenu.
ReplyDeleteHana mpya. Maneno tu.
ReplyDeleteNa nyie mnasema tarehe 17 au 27 nadhani hamnazo! Si muangalie hiyo website! Ni kukosea tu lakini mtu mwenye busara angeenda kwneye website na kuikuta hiyo habari! Watanzania someni, na si kuegesha tu!
WE! MHE. SUPIKA WETU ALIKATAZA KUTUMIA HIZO TAARIFA TOKA MITANDAO KWANI NDIZO ZILIZOMPONZA MHE. ZITTO. NA SISI TUKIFUNGIWA KUTEMBELEA BLOG HII MPAKA MWAKA KESHO TUTATEMBELEA WAPI?
ReplyDelete