jk atahutubia umoja wa mataifa siku ya alhamisi septemba 17 mida ya kati ya saa 3 asubuhi na saa sita mchana. chini pana kiunganisho cha ratiba ya watoa hotuba.

mkutano unaanza leo mpaka tarehe 3 mwezi ujao kwa kuangalia moja kwa moja toka U.N kongoli kiunganisho hapo chini

http://www.un.org/webcast/

http://www.un.org/webcast/ga/62/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. september 17 kwa kalenda ya marekani kwani kwa kalenda ya afrika mashariki na kati imepita.

    ReplyDelete
  2. Michuzi.
    JK atahutubia Septemba 17 au Septemba 27 bwana?
    Mbona septemba 17 imeshapita?
    Sahihisha tafadhali

    ReplyDelete
  3. mweh! sijui ataongea nini jk wenu.

    ReplyDelete
  4. Hana mpya. Maneno tu.

    Na nyie mnasema tarehe 17 au 27 nadhani hamnazo! Si muangalie hiyo website! Ni kukosea tu lakini mtu mwenye busara angeenda kwneye website na kuikuta hiyo habari! Watanzania someni, na si kuegesha tu!

    ReplyDelete
  5. WE! MHE. SUPIKA WETU ALIKATAZA KUTUMIA HIZO TAARIFA TOKA MITANDAO KWANI NDIZO ZILIZOMPONZA MHE. ZITTO. NA SISI TUKIFUNGIWA KUTEMBELEA BLOG HII MPAKA MWAKA KESHO TUTATEMBELEA WAPI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...