huko kilwa kisiwani magofu ya kale bado yapo kibao tatizo hayapati promosheni kuvutia watalii, hasa ikizingatiwa kwamba ni mmoja wa mji uliopata maendeleo mapema mno kuliko miji mingi ya bongo ukiwa unashikiria rekodi ya kuwa mji mkongwe kuliko yote afrika mashariki na kati. kwa habari zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Je kwenye video ya CNN Kilwa imo?

    ReplyDelete
  2. Hapo ndipo kwetu, Kilwa Kisiwani. Mji mkubwa sana na mji wenye elimu ya juu katika nyanja zote. Kama unataka elimu usikose kwenda hapo Kilwa Kisiwani.

    ReplyDelete
  3. Hapo ndipo kwetu, Kilwa Kisiwani. Ni mji wenye elimu ya hali ya juu katika nyanja zote. Usikose kwenda hapo Kilwa Kisiwani kupata Elimu na historia ya maisha yako.

    ReplyDelete
  4. Hapo ndipo kwetu. Usikose kwenda Kilwa Kisiwani kupata elimu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...