Home
Unlabelled
kwapukwapu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa Bro Michu! Huyo kibaka kafaaa au? Mbona watu wanashangaa huku damu zikivuja kichwani mwa kibaka..Bongo! simu tu, huondoa uhai wa binadamu!
ReplyDeleteacha wakomeshwe wamezidi kutuweka roho juujuu, ndiyo mana wengine wanachomwa moto mpaka wanateketea kabisa, lakini cha ajabu hawaachi. Labda sasa wakikamatwa wakatwe mikono yote.
ReplyDeleteBwana Pascal sasa mlimwacha mzima ?
ReplyDeleteMngemaliza kabla ya polisi hawajatokea
Kwa kweli kero ya vipaka inasikitisha sana,kuona wanawaliza watu.
ReplyDeleteLakini pia kitendo cha wanachi kujichulia hatua mikoni sio cha kuunga mkono.Maana sasa hivi kuna mtindo wa baadhi ya vibaka inaweza kuwa usiku wakikutana na wewe wanakugeuzia kibao na kuanza kukupiga wakidai wewe ndio kibaka ili wakuibie.Kwa stahili hii inakuwa usalama wa watu upo hatari
Hata lugha aliyotumia kaka Michu ina kaushabiki fulani ka kuunga mkono kitendo cha hao "WAVUNJA SHERIA" ambao michu na vyombo vya habari vinawatakatifuza kwa kuwaita "WENYE HASIRA"
Yaani wananchi wanakuwa wenye hasira kwenye simu ya mshindi kutoka china ya tshs elfu 15 wakati ahatuoni wananchi wenye hasira kwa MAJIZI ya mabilioni kwenye mikataba inayosababisha huyo dogo hadi akwapue simu.
Wananchi wenye hasira mpeleke hasara kwa MAFISADI pia ndio nitaona mnamchungu kweli.
OOh NOO..It's not fair kuchukua sheria mikononi.kweli ametenda kosa adhabu alopewa ni kubwa sana.In real fact kosa kubwa limefanywa na wale waliompiga (sina hakika kama yuko hai looks kama amekufa).
ReplyDeleteJamani watanzania mbona tunakuwa watu wa roho mbaya kweli simu moja utafananisha na value ya roho ya mtu.Put in your shoes labda huyo ni ndugu yako au mtoto wako ungependa afanyiwe hivyo?
Serekali ichukue hatua kukomesha vitendo hivyo vya uuwaji.
Jamani this is Bad!!! Japokuwa wizi ni kitu kibaya kinachokatazwa na dini zote na sheria za nchi pia, lakini kutoa roho ya mtu au kumpa mtu kichapo cha kufisha, mi naona sio sawa na ni dhambi mbele za Mungu na ni kosa chini ya sheria za nchi vile vile.
ReplyDeleteJamani taratibu zifuatwe katika kushughulikia watuhimiwa, kama vile kuwakamata kiubinadamu bila ya kichapo wala kuwakwida, kuwafikisha polisi na hatimae mahakamani, ili mahakama, chombo pekee chenye mamlaka ya kusulubu watuhumiwa, kipate kuamua juu ya hatma ya mtuhumiwa husika.
Pia Serikali ijaribu ku-address chanzo cha watu kuiba, kama vile ukosefu wa ajira, mifumo mibovu ya elimu na umasikini.
Inaniuma sana, pengine aliiba au hakuiba, kabambikiziwa tu, au hata kama aliiba hiyo simu yenyewe hata hai-cost laki, ndo imgharimu maisha yake?
huyu ni mvulana au msichana
ReplyDeleteHuyu ni demu? Aisee bongo noma yaani SIMU tuu unataka kupoteza maisha yako?
ReplyDeletejamani,toba yarabi,huyu si mwanamke,au macho yangu?
ReplyDeleteInawezekanaje binadamu kuuliwa au kuumizwa kiasi hicho kwa ajili ya simu??? Hiyo simu ilikuwa na gharama gani ikilinganishwa na maisha au afya ya huyo kijana?? Inabidi nijiulize kama kweli hao waliompiga kama ni binadamu au wanyama pori:-( Pascal hicho kitu kimekufurahisha???
ReplyDeleteMichuzi tunakuheshimu sana bro lakini kitendo chako cha kuandika hiyo habari kiushabiki na kuonyesha kama ni habari nzuri na haki sio haki kabisa na ninakulaumu sana na nilitegemea kwa sababu blog yako inasomwa na watu wengi ungeitumia kuonyesha na kukemea kitendo kama hiki kwa nguvu zote,huo ni unyama wa hali ya juu na punishment does not fit the crime!
ReplyDeleteUnajuwa, Mimi kila siku nakuwa nauliza kama sisi watanzania tuna ubinadabu pia tunaelewa na tunataka kuweka sheria mbele yetu. nimekuja kuelewa sisi watanzania, We are uncivilized society. Kama watu wanaweza kufanya mambo kama haya. Lazima hili swali tuweke mbele yetu kama tunataka kuleta maandeleo katika nchi yetu. haiwezekani watu wakamfanyia mtu mambo kama haya.
ReplyDeleteYangu machache,
Jimmy K
guys stop being defensive
ReplyDeletemi nasema hata ningekuwepo ningesupport apigwe. Like 2 weeks ago, nimechoka nimetoka kazini, then went to have these professional exams. nimetoka saa1 na nusub usiku, very tired, congested feeling like fainting. najidrive kurudi home, nikaona kama ac inaniumiza kichwa tu, nikashuisha kioo half way. Jamani mume wangu akanipigia simu pale salender just after kituo in bagamoyo rd going to mwenge. Ile napokea tu weka sikioni na niko ktk mwendo from nowhere jamaa kaichukua N93 yangu. I felt so angry nilitamani niwe na bastola ningemlipua... na pale kusimama huwezi utagongwa. ila nashukuru mungu hakuniumiza na nimenunua nyingine ila guys msiombe!!
Huyo leo kaanza na simu, kesho atenda kwenye magari ya watu then atahamia majumbani. Hivi ni mara ngapi tumesikia majambazi yanaua watu halafu wanaondoka na laki moja au mali ya elfu hamsini? Kama wao wanaweza kuuwa mtu halafu wampore laki moja basi na wananchi wawatendee hivyo hivyo.
ReplyDeleteMnalalamika nini? Hiyo ndio bongo yenu, wezi wa mamilioni wanapeta, wenye njaa(kwasabbu ya wezi wengi wa mamilioni)wanuwawa!
ReplyDeleteKWA NINI NA MAFISADI NAO TUSIWACHUKULIE HATUA? AU KWA SABABU WAO WANAHUSIKA NA "WHITE COLLAR" CRIME, AU KWA SABABU WIZI WAO NI SOPHISTICATED. KAMA TUNAUA VIBAKA NA MAFISADI NAO TUWARUSHIE MAWE KWANZA TUNAWAJUA.
ReplyDeleteDhambi ni dhambi. Hakuna dhambi kubwa wala ndogo. Aliyeiba ana dhambi na aliyempiga huyo mwizi ana dhambi vilevile. Sema serikali na wananchi wanatakiwa kukemea watu kuchukua sheria mkononi.
ReplyDeletendugu zangu hapa tatizo sio kwamba watanzania tuna roho mbaya,tatizo ni national trauma ambayo kama nchi tu suffer.hii trauma unatokana na ukweli kwamba watanzania kwa namna moja au nyingine tumeathirika na wezi/majambazi na hii ni kwa aidha kuvunjiwa,kuibiwa,kujeruhiwa na hata kuuawa ndugu zetu,rafiki,majirani etc.hivyo tukimdaka kibaka inaamsha ile deep seated anger kwamba 'ah ndo hawa hawa'and we go for the jugular,na hapo reasoning inawekwa pembeni ni unyama unyama tu,actually hii ndio asili ya neno 'wenye hasira kali'.
ReplyDeleteMICHUZI, TAFADHALI USIWAITE WAUWAJI - WANANCHI WENYE HASIRA, SI UNAONA WAMEUA HAWA!
ReplyDeleteMICHUZI VIPI? BINAADAMU AMEKUFA.
WAUWAJI NA WEZI NANI WANA MAKOSA ZAIDI? KAMA UNAMUAMINI MWENYEZI MUNGU JIBU NI WAUWAJI.
MUUWAJI NI MUUWAJI TU. HAKUNA MJADALA KIJANA KAIBA PENGINE ANA NJAA. NDIO MNAMUUWA?.
SHAME ON YOU MURDERERS, SHAME ON THE GOVERMENT THAT OVERLOOK THIS BARBARIC ACTIVITIES. SAME ON THAT TYPE OF SOCIETY.
HIKI NI KITENDO CHA UNYAMA, UOGA NA AIBU. SASA MBONA MMESIMAMA HAMCHUKUI VISU MKAMLA TUKAJUA MOJA - WALA WATU, WANAUWA KATIKATI YA MJI, MCHANA AND THEY GET AWAY WITH IT!.
MNAPENDA KUSEMA "NCHI ZINGINE WANAPIGANA NA KUUWANA", MBONA NYIE MNAUWANA KILA SIKU - WAUWAJI WAKUBWA.
UNCIVILIZED!
ale wapi??
ReplyDeleteNey-bham
Nyie watu vipi? Mnamlaumu Michuzi aliyewaonyesha hali halisi ya bongo, mnawalaumu watu wanaopiga vibaka....sijui nyie vipi!!!! wa kulaumiwa ni serikali. Kama polisi wanafika baada ya dakika 45????. Wacha watu wafanye wanavyotaka. Na pia huyo kibaka kama kaipasi hiyo phone kwa mwingine basi akienda mahakamani kesi itaishia hewani na simu haitarudi. Wewe unategemea watu wafanyeje? Waache wawabonde vibaka mpaka wajue kesho wakiiba cha moto wanakiona. Na pia serikali iweke sheria kali za vibaka hawa. Sio kuwa mtu anaiba phone anaachiwa baada ya week. Kosa ni kosa. Ukiiba simu au ukivunja nyumba adhabu iwe sawa. Hawa vibaka ndio hao hao. Wanaenda pugu week mbili wamerudi mitaani. What do you expect? Unamuona alikua anakimbilia polisi kwa vile anajua huko kuna heri....waizi wa nchi za nje wakiiba wanakimbilia mitaani na hawataki kabisa kushikwa na polisi...lakini nchi yetu safe haven ya vibaka ni polisi
ReplyDeletesheria za kiarabu alitakiwa akatwe mkona huyo.sasa lipi bora ,kaachwa kama somo hapo?na wakome mi walishaniliza simu hao.
ReplyDeleteTENA ACHENI KUJITETEA NA KUTETEA WANYAMA, HAPANA SIO WANYAMA BALI WABAYA KULIKO WANYAMA. WANYAMA WANAUA ILI WAPATE CHAKULA HAWA WANAUA KWA KURIDHISHA ROHO ZAO.
ReplyDeleteTUJIFUNZE KUFUATA SHERIA HATA KAMA HAIKIDHI HAJA AU INACHELEWA. VINGINEVYO WALE WOTE WALIOHUSIKA WANASTAHILI LAANA ZANGU NA LAANA ZA WOTE WANAOLAANI IKIWA NI PAMOJA NA MWENYEZI MUNGU.
PIA NINGEPENDA KUILANI SEREKALI KWA KUTOCHUKUA HATUA YOYOTE WAKATI HAKI ZA BINAADAMU ZINAPOKIUKWA. NADHANI HII NI KWA SABABU VICTIMS NA MURDERERS NI MASIKINI. YOU KNOW WHAT DON'T BOTHER, IT DOES NOT AFFECT US AND IT MAKE THEM HAPPY - YOU SEE
THE GOVERMENT THAT CAN'T PROTECT HER PEOPLE AGAINST SUCH INHUMAIN ACTS, IT IS FAILING TO PERFORM ONE OF ITS FUNDAMENTAL DUTIES I.E. TO PROVIDE SECURITY.
michuzi, mwalimu wako wa media ethics ni nani? inabidi abadilishwe nawe urudi darasani.
ReplyDeletehuyu kaiba kijisimu cha mkononi, mnapiga mpaka kafa! na mnachekelea eti nyie wananchi wenye hasira! mbona hao wanaomaliza mamilioni serikalini hamuwagusi,huku mkiwajua kwa majina na hata kunywa na kula nao kwa vicheko? jamaa mmoja kaua tena kwa risasi mbele ya watu waliojazana ndani ya daladala...mlimpiga? au uoga uliwaingia mkafyata mikia!!acheni sheria ichukue mkondo wake.
ReplyDeletewatu wote wanaotetea vibaka, ujue hayajawakuta, hakika vibaka wanarudisha sana nyuma maendeleo ya watu, mtu kahangaika weee kutafuta hako kasimu, hujui mtu kasafa vipi na maisha yenyewe yalivyo magumu, halafu mtu anakakwapua kirahisi namna hiyo. ngoja mtu uwe na kashilingi 1000 tu mfukoni, halafu kibaka kakapitia kwenye basi halafu konda anadai nauli, ndio mtu atajua vibaka wabaya au vipi!!!! mimi siwafagiliii kabisa wameshaniliza sana. sina hata hamu nao viumbe hao!!!!! NS.
ReplyDeleteEMMA vipi???...I FULLY SUPPORT annon wa 06:05, 06:08 na 07:04 ni jugular au TOFA tu!...ANNON WA 07:04 said it ALL!!! SOMENI MUMUELEWE...tuko na madonge nao ile mbaya hawa!!! ALAFU NYIE MNAOSEMA TUWALIME WALE WANAOIBA MABILIONI NA WANAOSAINI MIKATABA...are you serious??...if only we could set our hands on them in this ,anner!!!...we would have skinned them ALIVE!!!...PLZ REFER TO ANNON WA FRI 19th 07:04 BIG UP BUDDY!!!...
ReplyDeleteUwizi na uchumi wa nchi unaendana hand by hand. Tuwalaumu viogozi wetu na sio vibaka, wapeni kazi na elimu, uwizi utapungua.
ReplyDeleteNILIPIGWA KABALI YA MBAO NA KUPORWA KITUO CHA BASI KWA MANYANYA SAA 2 USIKU.
ReplyDeleteNYARAKA ZANGU MUHIMU ZILIPOTEA,
PESA ZANGU ZILIPOTEA (HATA NAULI HAWAKUNIACHIA)
SIMU YANGU ILIPOTEA
NILITUMIA GHARAMA KWA KUJITIBU MADHARA NILIYOYAPATA BAADA YA KABALI
KWA UFUPI NILIPATA USUMBUFU MKUBWA.
NILIJAWA NA HASIRA KALI SANA.
JE, HIVI NIKIMWONA KIBAKA NEXT DAY NITAFANYA NINI? (NITACHEKA, NITAMHURUMIA AU...) NISAIDIENI KWA HILI.
aka mwenzangu unamkata mikono tote miwili, tuone ataiba na nini. Tena hapo Manyanya Kinondoni ni pabaya sana, wamejaa tele.
ReplyDelete