Habari za kazi kaka Michuzi,

Mimi naomba watu wajaribu bahati zao kwenye hii kitu. Inaonekana ni wengi hawajui kuna kitu kama hiki na wengine wanajua lakini wanaenda na kulipa watu wawafanyie, hii kitu ni bure. Nimeona tangazo kwenye http://www.tzuk.net/ ila naomba kusema the real website ni hii http://travel.state.gov/visa/immigrants/types/types_1318.html

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. wewe ulikuwa haujui? mbona tangu 2001 watu walishaibua hiyo site ya serakiali longtime mpaka sasa watu wanaikimbilia gamba la NAVY
    kansas city....
    ## cha kuzingatia ni upiga wa picha na kisha kuiweaka kwenye cd kabla hauja-upload hapo ndo wenzetu wa kenya wanatuzidi ndo maana kila mwaka wao wanapata nafasi 6000 wakati bongo nafasi sio zaidi ya 300
    good luck chuck

    ReplyDelete
  2. Hakuna dili----kunanuka damu...SORRY

    ReplyDelete
  3. Kila upande wa dunia sasa kunanuaka damu so ni wewe tu. Follow your drem. Kama hutaki silazima na kama unataka nadhani ni good experience na waweza pata idea za kurudi TZ na kujenga nchi yako.

    ReplyDelete
  4. Wewe anon wa october 25,2007 6:20:00 PM EAT, Acha kutupotosha.....Yaani MDANGANYIKA aende marekani na Mmarekani akimbilie BUZWAGI......which is which darling?

    ReplyDelete
  5. Haaa i think hata wewe mtoa maoni namba mmoja hujui vizuri though unaishi huko huko state! Sio lazima udownload kwenye cd tu u can use your digital camera na kudownload moja kwa moja kwenye "validator photograph" au hata ukaweka kwenye flash au kwenye computer moja kwa moja! Then kumbuka si wabongo wote wanaopenda kuishi nje ya nchi yao tatizo wakenya wengi wababaikaji pamoja na watu kama wewe!!! Luv your country HONEY, KISS 4 U!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...