Home
Unlabelled
shabazzzzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi, hiyo kitu inaitwa shaba inatakiwa iwe chini ya mpishi aliyevaa msuli, singlend na barghashia.Hapo walaji twaweza pata ladha ya msosi.Lazima pilau la shaba nyama iwe nyingi na mbuzi au kama ni ng'ombe awe amechinjwa kuelekea kibla. Wayajua hayo Michuzi.Nawatakia Wabongo wenzangu wa huku Ughaibuni na nyumbani Sherehe njema yenye mafanikio, raha, baraka, furaha na amani tele. Inshaalah.
ReplyDeletebwana pilau tamu liwe kama kutu, yaani chuma chenye kutu,shaba huwa ni biryani
ReplyDeleteyakhe...pilau na biriani ni ya wadosi...wabongo hatuna chetu?...ili kudoelea cha wengine tu!!!
ReplyDelete