Mahusiano.com Logo. |
Wadau, je mnakumbuka uhondo tuliokuwa tunaupata enzi hizo za enzi za muziki wa bongo kupitia Mahusiano.com?
Basi sasa wametupa bonge la ofa kwamba wataanza kutwanga mawe kuanzia leo 24/12/2007 Mpaka mwaka mpya. Tembelea hapa kupata uhondo zaidi.
Habari za uhakika zinatanabahisha kwamba bonge ya web mpya ipo njiani so stay tuned kupitia blog hii kwani tutawajulisha mambo yatakapokuwa sawa.
Nawakilisha.

Fiksi!haipatikani
ReplyDeleteTulia kijana,mbona mi naipata kwa raha zote. kong'oli hapa http://www.mkjobportal.com/mahusiano/cmkradio.html
ReplyDeleteKama nalia vileeeeeeeeeeeeeeeeeeee duh bola wamerudi.
mh wanataka ulipe hausikii wala kuona miziki, na hata kulipa bei mbovu
ReplyDeleteMi mbona wajameni naipata tu hapa live na bure tu http://www.mkjobportal.com/mahusiano/cmkradio.html nipo Austria.
ReplyDeleteUkitaka kusikiliza labda ukiwa kwenye gari au kwako bila Internet ndio unabidi ununue. Bei sio mbaya ila sema mfuko wako hautoshi..
Anyway kama wanavyo sema tusubiri web mpya maana hii naona ni temp.. Tunaisubiri kwa hamu maana tume-miss Mahusiano.com
yes,inapatikana sasa.nimeipata
ReplyDelete