MK Group: We always target on Perfection
Mahusiano.com Logo.
Wadau, je mnakumbuka uhondo tuliokuwa tunaupata enzi hizo za enzi za muziki wa bongo kupitia Mahusiano.com?

Basi sasa wametupa bonge la ofa kwamba wataanza kutwanga mawe kuanzia leo 24/12/2007 Mpaka mwaka mpya.
Tembelea hapa kupata uhondo zaidi.

Habari za uhakika zinatanabahisha kwamba bonge ya web mpya ipo njiani so stay tuned kupitia blog hii kwani tutawajulisha mambo yatakapokuwa sawa.

Nawakilisha
.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Fiksi!haipatikani

    ReplyDelete
  2. Tulia kijana,mbona mi naipata kwa raha zote. kong'oli hapa http://www.mkjobportal.com/mahusiano/cmkradio.html

    Kama nalia vileeeeeeeeeeeeeeeeeeee duh bola wamerudi.

    ReplyDelete
  3. mh wanataka ulipe hausikii wala kuona miziki, na hata kulipa bei mbovu

    ReplyDelete
  4. Mi mbona wajameni naipata tu hapa live na bure tu http://www.mkjobportal.com/mahusiano/cmkradio.html nipo Austria.

    Ukitaka kusikiliza labda ukiwa kwenye gari au kwako bila Internet ndio unabidi ununue. Bei sio mbaya ila sema mfuko wako hautoshi..

    Anyway kama wanavyo sema tusubiri web mpya maana hii naona ni temp.. Tunaisubiri kwa hamu maana tume-miss Mahusiano.com

    ReplyDelete
  5. yes,inapatikana sasa.nimeipata

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...