Home
Unlabelled
kariakoo yapigwa kufuli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tanzania ni Nchi huru lakini viongozi wake ni Wababe sana Hivi kabla ya kufunga soko 1)Je mmewatafutia MAENEO ya kufanyia kazi hao wananchi Wanaishi kwa kutegemea kipato chao hapo SOKONI KARIAKOO 2)Kuwafukuza wananchi bila ya kuwapa maeneo ya kazi hamuoni ni hatua ya kuongea uksefu wa KAZI na ongezeko la uhalifu (Vibaka na Majambazi)Naiomba Serikali Iwajali Wanchi wapiga kura kwanza Jenga SOKO jipya kwanza Ndio ufunge la zamani.HUU SI UUNGWANA KUWANYIMA WANANCHI RIZIKI ZAO Ahsante Mgosi wa Kaya U. K
ReplyDeleteHuenda sikumwelewa vizuri JK katika kampeni zake za kuomba urais.Hivi alisema anataka kutengeneza ajira za watu milion 2 au kubomoa ajira za watu million 2!?
ReplyDeleteHawa jamaa zetu waliondolewa hapo kkoo watakwnda wapi kama hakuna maeneo waliyoandaliwa?Serikali ingekuwa inaanda maeneo then kama watu wasipohama ndio unawatimuwa lakin sio kuwakurupua tu watu wamelalamika sana kupata hasara ya bidhaa zao kuharibiwa,..hela zenyewe za mikopo basi mawazo matupu na matatizo unawaingizia raia wema..halafu nasikia wanataka kwenda kwenye magereji bubu!!
Mie sikatai mipango hii mizuri lakin hawa watu wanaotimuliwa wakale wapi sasa kama sio kuongeza vibaka mtaani?!
nakubaliana na nyie hapo juu kuhusu watu kukosa ajira lakini wengi wao wamekimbia vijiji kuja kujazana mjini tunahitaji wakulima vijijini wote tukiuza nguo nani ata produce chakula.kwahiyo it's a very good idea,warudi shamba wakalime alokwambia hao wanaouza hapo nje sio vibaka ni nani?wanajitia kuuza vitu mkononi jaribu kupita kioo chini anakugeukia kukuibia.
ReplyDeleteMasoko ya Kariakoo yako mengi ama ni hili moja tu?? Maana hapo pameandikwa "Shirika la Masoko ya Kariakoo"
ReplyDelete