Familia ya Mzee D.Kabakaki wanasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao mpendwa Renatus Kabakaki aliyafariki ghafla akiwa na umri wa miaka 30, hapa London tarehe 23/01/08.


Wazazi wa marehemu, ambao wanaishi Bukoba - Tanzania, wanawaomba watanzania kushirikiana nao katika mchango wa kufanikisha kusafirisha mwili wa marehemu kuelekea nyumbani Bukoba wiki hii.


Hivyo tunawaomba watanzania wote wanaoweza kujitolea mchango wowote wawasiliane na watu wafuatao:


Mr. Desi Kabakaki 07956-398-957

Mr. Alphonce Maduhu 07958-370-015

Ms. Patricia Visram 07830-358-179

Miss. Jessica Maduhu 07767-877-930


Iwapo mtu atapenda kuja nyumbani kwao na marehemu kushirikiana nasi katika maombolezo, anakaribishwa. Address ni


302 Strone Road,

Manor Park,London,

E12 6TP.


Tel:0208-4718-840


By bus 101,474,25 and 86


The nearest station by tube; District line (East Ham)

The nearest station by British rail; (Manor Park)

Ahsanteni kwa ushirikiano wenu


Mungu awabariki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. WEMA HAWANA MAISHA BOB MARLEY 30'S
    JESUS 30'S

    TUMAINI GEOFREY

    ReplyDelete
  2. Rest in peace, miaka 30 tu, mbona kaondoka mapema! Inna lillah rajiuna.
    Nasisi tutakufuata Renatus

    ReplyDelete
  3. Poleni na msiba. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Ingekuwa vizuri mnge post Account no as well. Wengine tunapenda kutoa anonymously via online banking bila kupiga simu na kujitambulisha.

    ReplyDelete
  4. Poleni wafiwa, huu mwaka unaanza vibaya! kila kona msiba.

    ReplyDelete
  5. JAMANI HUYU TUMAINI ANANIUDHI SANA NA COMMENT ZAKE ZA KITOTO KWENYE PAGE ZA MISIBA YA WATU NINGEANDIKA VIBAYA SANA KUHUSU WEWEW ILA NA HESHIMU WATU HAPA JUZI TENA AMEANDIKA UPUUZI HUU TENA HIVI UNACHEZA NA MAISHA YA WATU PELEKA DINI YAKO HUKO HUKO

    ReplyDelete
  6. WAFIWA POLENI TUNAMUEKA MAREHEMU KWENYE DUA ZETU.WE ARE DYING SO YOUNG THESE DAYS.

    ReplyDelete
  7. Rest in peace, till we meet again. Aliyetoa ndie aliyechukua.

    ReplyDelete
  8. Poleni sana wafiwa Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu na ikimpendeza aendelee kuipatia familia ya marehemu furaha nguvu na afya njema.
    Mdau Ukerewe

    ReplyDelete
  9. poleni wafiwa, ndio kazi ya mungu, pia ushauri kwa badhi ya watanzania wenzenu wanapokua na matatizo haswa ya msiba, ni vizuri kushirikiana maana wote ni binadamu, tuwe na upendo wanadamu.

    ReplyDelete
  10. HUYO TUMAINI ANA MATATIZO YA UBONGO, HE NEED TO TAKE HIS MEDICINE SO THAT HE CAN RELAX HIS BRAIN.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...