jk akiwa na jaji mkuu mh. augustine ramadhani (kulia kwa jk) ) na jaji kiongozi (kushoto kwa jk) akipozi na majaji wa mahakama ya rufaa baada ya kuwaapisha majaji wapya wa mahakama hiyo (wenye majoho) ikulu. walioapishwa toka shoto ni wah. sauda mjasiri, stephen bwana, bernard luanda na mohammed othman

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. JK inabidi apunguze kitambi maana hilo suit naona zimeanza kumbana. Najua wabongo ndo twapenda mtu mwenye kitambi lakini si afya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...