jk akiwa na jaji mkuu mh. augustine ramadhani (kulia kwa jk) ) na jaji kiongozi (kushoto kwa jk) akipozi na majaji wa mahakama ya rufaa baada ya kuwaapisha majaji wapya wa mahakama hiyo (wenye majoho) ikulu. walioapishwa toka shoto ni wah. sauda mjasiri, stephen bwana, bernard luanda na mohammed othman

JK inabidi apunguze kitambi maana hilo suit naona zimeanza kumbana. Najua wabongo ndo twapenda mtu mwenye kitambi lakini si afya.
ReplyDelete