naandaa miss photogenic 2008 kama nilivyofanya mwaka 2005 na 2006. hivyo basi wadau wa ulimbwende na warembo kaeni mkao wa kula mambo mapya kabisa yanakuja...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Je unaonaje ukawakumbuka na wanaume (mr) this time? Na sisi tunapenda zawadi bro.

    ReplyDelete
  2. Michuzi nimecheka kwa sauti hadi watu hapa ofisini wamenishangaa! Yaani ulivyoweka mikono hiyo nyuma, sijui ndio kuogopa lawama, shutuma ama ni kumwogopa Mrs Michuzi? Du sina mbavu mtu wangu. Unajua kutufurahisha kwa kweli!

    ReplyDelete
  3. we annoy wa hapo mwanzo unajua Hao warembo huwa wanampaga nini michuzi mpaka wanachukua zawadi??

    Basi kama unataka hiyo zawadi na wewe MPE

    ReplyDelete
  4. nashukurukwa hizo hatua lakini 2005 na 2006 ni walifanya photopoint? au sijakusoma kaka michu....

    ReplyDelete
  5. Mhh, uzinzi tu michu!
    Hiyo suit umeazima wapi?!

    ReplyDelete
  6. jamani huyo hapo ni michuzi?mbona jino moja limetoka nje?au ndio smile mpya hiyo?

    ReplyDelete
  7. Bro Michu
    Mimi naongezea wazo, unajua u-photogenic unakwenda pia na umri. Kulinganisha totozi ya 16 na mdau wa 56 si sawa. Unaonaje ukaweka makundi labda chini ya 25, chini ya 40 na zaidi ya 50. I'm thinking aloud. Unajua kuna watu kwa umri wao..they are very photogenic

    Na pia kama mdau wa 5:03 alivyonena, pia sie wanaume tuwepo, au vipi?

    ReplyDelete
  8. Sasa Bro Michu, iko wapi mikono yako bwana wewe!!!!!

    ReplyDelete
  9. michuzi, umri umekwenda.

    ReplyDelete
  10. Ny City jana wameonyesha picha za wanawake walioshinda picha ya 40 yrs and fabulous...

    Fanya kama ulivyoambiwa hapo juu...umri sio kigezo kuna watu wako photogenic lakini wako above 30 etc

    Halafu lini bongo mtaanza MRS tanzania...????

    ReplyDelete
  11. Kila mtu umri unakwenda...kila siku...kumbuka!

    ReplyDelete
  12. Braza Michu,

    Hii protocol yako ya mikono nyuma nimependa.

    TM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...