Home
Unlabelled
miss photogenic 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Je unaonaje ukawakumbuka na wanaume (mr) this time? Na sisi tunapenda zawadi bro.
ReplyDeleteMichuzi nimecheka kwa sauti hadi watu hapa ofisini wamenishangaa! Yaani ulivyoweka mikono hiyo nyuma, sijui ndio kuogopa lawama, shutuma ama ni kumwogopa Mrs Michuzi? Du sina mbavu mtu wangu. Unajua kutufurahisha kwa kweli!
ReplyDeletewe annoy wa hapo mwanzo unajua Hao warembo huwa wanampaga nini michuzi mpaka wanachukua zawadi??
ReplyDeleteBasi kama unataka hiyo zawadi na wewe MPE
nashukurukwa hizo hatua lakini 2005 na 2006 ni walifanya photopoint? au sijakusoma kaka michu....
ReplyDeleteMhh, uzinzi tu michu!
ReplyDeleteHiyo suit umeazima wapi?!
jamani huyo hapo ni michuzi?mbona jino moja limetoka nje?au ndio smile mpya hiyo?
ReplyDeleteBro Michu
ReplyDeleteMimi naongezea wazo, unajua u-photogenic unakwenda pia na umri. Kulinganisha totozi ya 16 na mdau wa 56 si sawa. Unaonaje ukaweka makundi labda chini ya 25, chini ya 40 na zaidi ya 50. I'm thinking aloud. Unajua kuna watu kwa umri wao..they are very photogenic
Na pia kama mdau wa 5:03 alivyonena, pia sie wanaume tuwepo, au vipi?
Sasa Bro Michu, iko wapi mikono yako bwana wewe!!!!!
ReplyDeletemichuzi, umri umekwenda.
ReplyDeleteNy City jana wameonyesha picha za wanawake walioshinda picha ya 40 yrs and fabulous...
ReplyDeleteFanya kama ulivyoambiwa hapo juu...umri sio kigezo kuna watu wako photogenic lakini wako above 30 etc
Halafu lini bongo mtaanza MRS tanzania...????
Kila mtu umri unakwenda...kila siku...kumbuka!
ReplyDeleteBraza Michu,
ReplyDeleteHii protocol yako ya mikono nyuma nimependa.
TM