Fatma Amour akifanya mahojiano na televesheni ya C2C leo mchana huko Mikocheni kuhusu tamasha lake la mavazi liitwalo festival Collection litakalo fanyika jumamosi machi 8 hoteli ya movenpick ambapo pia itakuwa siku wa wanawake duniani. kati ni mtangazaji wa C2C Vicky Mketema
Fatma akizungumza na baadhi ya modoz watakaoshiriki siku hiyo ya tamasha la festival Collection leo mchana mikocheni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hizo ndio nguo watakazozivaa siku hiyo hao model? Au hao model huvaa hivyo na kutembea huko mjini na hizo nguo ninavyoona hapo?

    ReplyDelete
  2. Michuzi naomba unisaidie natafuta mchumba,kama huyo dada Fatma ameolewa au la.nimelipenda hilo umbo la kiingereza.email yangu yangu fridokazadi@gmail.com.Tafadhali ustadhi muhidin usinibanie niko serious.

    ReplyDelete
  3. HI NI SAFI AFADHALI WASWAHILI WENZETU MNAJISHUHULISHA...SIO WAHINDI TU..TUTAWEKEZA..HONGERA

    ReplyDelete
  4. hiyo nguo ya kimasai naweza kuagiza wapi? Lakini mimi nataka mtu anipe email nimtumie design michoro ya design yangu ninayotaka. Nitanunua nyingi tu

    asante wajasirimali wa bongo

    ReplyDelete
  5. nataka nikusahihishe kidogo brother michuzi huyo dada wa kati haitwi vicky ila jina lake ni ZAMARADI MKETEMA ni mfatiliaji mzuri sana wa kipindi chake cha kona ya mabinti and i love her very much. big up sana kwako brother

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...