Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mh. Joseph Kabila ambaye leo asubuhi alisimama kwa muda kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere akiwa njiani kuelekea New Delhi, India kuhudhuria mkutano kati ya nchi hyo na nchi za Afrika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Kabila bwana nani kakudanganya hizo ndevu??? au ndo mambo ya ndoa usionekane handsome

    ReplyDelete
  2. Hiki kijamaa kishaanza kunenepa? kalikuwaga kembamba haka, pesa nzuri jamani!ataanza mabp na sukari sasa hivi!

    ReplyDelete
  3. Kabila ndevu hazilipi hizo ndg yangu!!!

    ReplyDelete
  4. Dogo anakwiva tu siku hizi mambo ya nafasi hayo.

    ReplyDelete
  5. nyumbani ni nyumbani tu lazima asimame kwao maana huyu siyo mcongo man!ni mtz huyu safi sana mtanzania anawaongoza wazaire!

    ReplyDelete
  6. fiirakbu tamaasiih adhab layufqadu

    ReplyDelete
  7. JAMANI NI MACHO YANGU AMA..NAONA KAMA JAMAA ANA SAA 2 AMEVAA MOJA KILA UPANDE....JAMAA AMEKUA NA AMESHAKOMAA KIUTENDANI PAMOJA NA KASHKASH ZOTE NCHI INASONGA...UCHUMI WAKE ALHAMDULLILAH..NASI JE TUKIPATA MAKASHESHE KAMA YAO..TUTAWEZA HATA KUNYANYUA MGUU KIUCHUMI??

    ReplyDelete
  8. Mheshimiwa pinda mbona mguu ume..nda.

    ReplyDelete
  9. Nimekubali maneno ya Baba yake Kabila alipokuwa akimsifia sana mtoto wake kwamba 'Ni lulu ya Congo,kwamba ni mtoto mwenye akili sana na mwerevu na shupavu'.Na kweli muda mfupi tu madarakani amethibitisha kwamba ana akili za kiutu uzima,mjanja na akili nyingi,mwerevu na shupavu.Amefanya yaliyo washinda viongozi wengi wenye umri mkubwa zaidi ya wake.Bana Congo wote wajisikie fahari kuwa na Kiongozi kijana mwenye nidhamu na uzalendo mkubwa kwa Taifa lake la Congo na Afrika kwa ujumla.Binafsi nampongeza sana na namtakia mafanikio makubwa zaidi ili aje kuliunganisha Bara La Afrika liwe moja lenye nguvu zaidi kiuchumi!Tumpe SUPPORT ya nguvu!

    ReplyDelete
  10. Mkongomani kama vile ana saa mbili- mkono wa kushoto na wa kulia.Hizi ni mbwembwe za kiKongo au saa moja ya majira ya nyumbani na nyingine ya majira ya asafiriko/aendako?

    ReplyDelete
  11. yani we anon wa 1:38pm umenichekesha hadi machozi, yani nimecheka huwezi amini, kwanza nimecheka comment kabla sijarudi tena kuangalia pic vizuri,

    jamani kuna watu hawajatulia, hivi akili yako inafikiria nini, mguu haujapinda jamani ni suruali imepulizwa na upepo, ila wewe sasa ulivyochomekea swali lako, u-made my day though

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...