Home
Unlabelled
kinadada hawajabweteka...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
heels hazifai on that kinda job.she probably neends tene-shoes,they are comfortable.
ReplyDeleteshe got nice body! go girl.
ReplyDeleteHUYU DADA ATAKUWA ANASHUTI VIDEO KWENYE KITCHEN PARTY.
ReplyDeletehey live her alone she's mine!!!
ReplyDeletekaka michuzi...sio njanja ni nyanja
ReplyDeletekazi nzuri inalipa na umependeza sana tuuuuuuuuuuuuu!!!!
ReplyDeleteila hizo nguo haziendani na kazi hiyo na tukio linaloendelea!
kuna inama, chuchumaa, kaa, ruka shika kile mara hivi UTAVULIA WATU kwenye sherehe zao.
ebu jitahidi kuvaa kulingana na hafla unayokwenda
Dah! kwakweli unavutia sana dada, ungekuwa mrefu kidogo , wangekukoma kwenye mashindano ya urembo.
ReplyDeleteVenance
Arusha
Angalikua Face Of Tanzania basi. Dada kapendeza lakini viatu duhhh !!! Atabebaje kamera yake ??? High heels noma mami.
ReplyDeleteAnoni wa hapo juu. Sisi wataalam wa viatu tunasema kwamba kiatu kizuri ni kinacho comfort mwili wako. Mwache dada abangaize..... Umejaribu anyway kumwaga pumba. Hiiiiii
ReplyDeleteTruth be told...She has a HOT body
ReplyDeleteWaliotoa comment za viatu wote ni wanawake, sasa mwashangaa nini mbona munaenda na viatu kama hivyo maofisini au huko hakuna kuinama sijui nini. Tena na kwenye maparty na madisco mnaenda navyo mnaruka ruka kama viluwiluwi.
ReplyDeleteHIvi nyie wanawake kwa nini nyie wenyewe hampendani wala hampendi kusifiana? Kingemshinda angevua, hivi mtu aende kwenye shughuli, kazi yake na training shoes kwani anaenda kucheza mpira au gym!
MAALIM ISSA TUNASHUKURU SANA KWA PICHA KAMA HII..KINADADA WANAJITAHIDI SANA NA TUWAPE SAPOTI....WANA.."..KRIETI OPOCHUNITI..."..NA HAISHII HAPO TUU.."..LUGHA YA PICHA INAONYESHA...HAU KRIETIVE SHE IS.."..
ReplyDeletewewe unayesema mtaalamu wa viatu naona unachekesha.hiyo kazi inabidi mtu awe ana-move one place to anather ili kuwahi matukio.otherwise ataangushwa na hivyo viatu.Ndio sikatai viatu ni vizuri lakini she needs to dress accordingly!
ReplyDeletekwa ufahamu wangu mdogo nilio nao katika nyanja hiyo, mpiga picha hizo hutakiwi kuvaa hivyo, kwani there are some uncomfortablae moves ambazo kama ni mpiga picha uliesomea fani hiyo utatakiwa kuzifanya. Ila nahisi alikuwa anamshikia mtu kwenye kitchen party kabisaaa
ReplyDeleteWatu bwana!!!wivu!!!ooh viatu2,nguo2 mumejaribu?mtu anavaa unavyopenda na sio anavyopenda "Chakubanga"ndio maana hamuendelei,kwa mwenzio wakulalia jicho wazi yatawashinda!!!!
ReplyDeleteby mlalahoi
Msoooooonyo!Wivu tu umewajaa...wewe kama kiatu kirefu ukivaa unatembea kama unacheza mugongo mugongo kuna ambao tukivaa high heals we feel more comfy kuliko tukivaa malapa.Ni mazoea tu!Ooooh anashoot kitchen party wewe inakuhusu nini?Wewe unashoot ipi?Au umezoea mzee anaenda ku-shoot unasubiri hela la saloon...Haters mnaniboa,sifieni dada wa watu anajituma kuendeleza libeneke la maisha!Au mnataka wote tukasugue miguu ya vi-ajuza vya kizungu...EBO!
ReplyDeletemovies/Video photo works za kibongo bado ziko nyuma.Kila movie ya kibongo inaonekana kama ni home made videos wala haiko kwenye viwango vya kuitwa movie.Kuna movie moja(Valentine) niliiona kwa kweli ilikuwa na ujumbe mzuri lakini ilikuwa haina mwanga wa kutosha pia unaweza kusikia hewa na mwangwi(echoes) za surroundings.Hawa watengeneza movies zetu wajaribu kununua vifaa vinavyochuja kila kitu kisichotakiwa kuwepo kwenye movie.Pia hakuna movie inayotengenezwa kwa kamera moja na light source moja.Hata kama movie inatengenezwa nje mwanga wa jua pekee hauwezi kutoa quality nzuri.Step ya game up people.
ReplyDelete