mmoja wa kinadada wanaofanya kazi za kushuti video kwenye hafla. inatia moyo kuona wakinadada wakijitokeza katika njanja mbalimbali za kutafuta mkate wao wa kila siku

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. heels hazifai on that kinda job.she probably neends tene-shoes,they are comfortable.

    ReplyDelete
  2. she got nice body! go girl.

    ReplyDelete
  3. HUYU DADA ATAKUWA ANASHUTI VIDEO KWENYE KITCHEN PARTY.

    ReplyDelete
  4. hey live her alone she's mine!!!

    ReplyDelete
  5. kaka michuzi...sio njanja ni nyanja

    ReplyDelete
  6. kazi nzuri inalipa na umependeza sana tuuuuuuuuuuuuu!!!!
    ila hizo nguo haziendani na kazi hiyo na tukio linaloendelea!
    kuna inama, chuchumaa, kaa, ruka shika kile mara hivi UTAVULIA WATU kwenye sherehe zao.

    ebu jitahidi kuvaa kulingana na hafla unayokwenda

    ReplyDelete
  7. Dah! kwakweli unavutia sana dada, ungekuwa mrefu kidogo , wangekukoma kwenye mashindano ya urembo.
    Venance
    Arusha

    ReplyDelete
  8. Angalikua Face Of Tanzania basi. Dada kapendeza lakini viatu duhhh !!! Atabebaje kamera yake ??? High heels noma mami.

    ReplyDelete
  9. Anoni wa hapo juu. Sisi wataalam wa viatu tunasema kwamba kiatu kizuri ni kinacho comfort mwili wako. Mwache dada abangaize..... Umejaribu anyway kumwaga pumba. Hiiiiii

    ReplyDelete
  10. Truth be told...She has a HOT body

    ReplyDelete
  11. Waliotoa comment za viatu wote ni wanawake, sasa mwashangaa nini mbona munaenda na viatu kama hivyo maofisini au huko hakuna kuinama sijui nini. Tena na kwenye maparty na madisco mnaenda navyo mnaruka ruka kama viluwiluwi.

    HIvi nyie wanawake kwa nini nyie wenyewe hampendani wala hampendi kusifiana? Kingemshinda angevua, hivi mtu aende kwenye shughuli, kazi yake na training shoes kwani anaenda kucheza mpira au gym!

    ReplyDelete
  12. MAALIM ISSA TUNASHUKURU SANA KWA PICHA KAMA HII..KINADADA WANAJITAHIDI SANA NA TUWAPE SAPOTI....WANA.."..KRIETI OPOCHUNITI..."..NA HAISHII HAPO TUU.."..LUGHA YA PICHA INAONYESHA...HAU KRIETIVE SHE IS.."..

    ReplyDelete
  13. wewe unayesema mtaalamu wa viatu naona unachekesha.hiyo kazi inabidi mtu awe ana-move one place to anather ili kuwahi matukio.otherwise ataangushwa na hivyo viatu.Ndio sikatai viatu ni vizuri lakini she needs to dress accordingly!

    ReplyDelete
  14. kwa ufahamu wangu mdogo nilio nao katika nyanja hiyo, mpiga picha hizo hutakiwi kuvaa hivyo, kwani there are some uncomfortablae moves ambazo kama ni mpiga picha uliesomea fani hiyo utatakiwa kuzifanya. Ila nahisi alikuwa anamshikia mtu kwenye kitchen party kabisaaa

    ReplyDelete
  15. Watu bwana!!!wivu!!!ooh viatu2,nguo2 mumejaribu?mtu anavaa unavyopenda na sio anavyopenda "Chakubanga"ndio maana hamuendelei,kwa mwenzio wakulalia jicho wazi yatawashinda!!!!
    by mlalahoi

    ReplyDelete
  16. Msoooooonyo!Wivu tu umewajaa...wewe kama kiatu kirefu ukivaa unatembea kama unacheza mugongo mugongo kuna ambao tukivaa high heals we feel more comfy kuliko tukivaa malapa.Ni mazoea tu!Ooooh anashoot kitchen party wewe inakuhusu nini?Wewe unashoot ipi?Au umezoea mzee anaenda ku-shoot unasubiri hela la saloon...Haters mnaniboa,sifieni dada wa watu anajituma kuendeleza libeneke la maisha!Au mnataka wote tukasugue miguu ya vi-ajuza vya kizungu...EBO!

    ReplyDelete
  17. movies/Video photo works za kibongo bado ziko nyuma.Kila movie ya kibongo inaonekana kama ni home made videos wala haiko kwenye viwango vya kuitwa movie.Kuna movie moja(Valentine) niliiona kwa kweli ilikuwa na ujumbe mzuri lakini ilikuwa haina mwanga wa kutosha pia unaweza kusikia hewa na mwangwi(echoes) za surroundings.Hawa watengeneza movies zetu wajaribu kununua vifaa vinavyochuja kila kitu kisichotakiwa kuwepo kwenye movie.Pia hakuna movie inayotengenezwa kwa kamera moja na light source moja.Hata kama movie inatengenezwa nje mwanga wa jua pekee hauwezi kutoa quality nzuri.Step ya game up people.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...