Samahani kwa kuchelewa kuleta tangazo (nilikuwa najihudhurisha mbele ya liwali asinisahau kwenye ujira)
Kuna linki katika: http://nukta77.com/soccer.aspx mtu kuweza kuchagua pa kutizamia mechi za michezo mbalimbali ikiwemo huu wa soka/futiboli la leo (Liverpool vs Chelsea)
Subi
Nitakupiga kichwa kama RIIIIIIIIIIIIIISEEEEEEEEEEEEEE unanitania mimi wewe Michuzi, kwanini ile picha ya mkeo umeiondoa?????? enheee, nitakupiga kichwa dakika ya mwisho mimi???????????, unajua mijamaa ilikuwa na hamu ya kuongeza bao la pili sasa ikajisahau badala ya kuokoa inajipiga bao! tehetehetehetehe
ReplyDeletemkuki kwa Arsenal kwa lpool mchungu kaka.Hata hivyo nataka lpool washinde wakutane na barca.Barca washinde kombe.Sababu kubwa ni My love for Henry.
ReplyDeletebrother mithupu vipi mbona hutoi matokeo,au tv yako imeharibika mtanga
ReplyDeleteRise with the "headaaaaaaaa!!"
ReplyDeleteYeees.......(...malizia mwenyewe Michu