Home
Unlabelled
sikukuu ya kumbukumbu ya karume kesho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
16 days holiday + sat and sunday. Mimi nashangaa sana nchi masikini kuwa na siku nyingi za mapumziko hizi nyerere na karume day naona zingekuwa ni siku za kazi kwani J.K Nyerere alikuwa mchapa kazi mzuri hata alipong'atuka alikuwa mkulima kule Butiama sasa iweje leo siku ya kuadhimisha kumbukumbu yake watu walale?Nyerere hakuwa goigoi
ReplyDeleteMohammed H.
Huyu ndo baba wetu wa taifa sisi wazanzibari halisi wengine hatuwatambui- ni mtazamo tu tusijenge chuki
ReplyDeletemhe raisi karume junior fanya kila uwezalo ulivunje au ukalitupe baharini hilo sanamu kwani kwa muisilamu kujengewa sanamu ni haramu,watu waliopotoka zamani walikua wakiyaabudu hayo masanamu.
ReplyDeleteMzee Marehem Father K,mungu akulaze mahara pema peponi!kwa msingi ulio tujengea!kuwa waswahili weusi hadi leo tunakula
ReplyDeleteuroda na mabinti wa kiarabu na magabachori! uwamuzi wako wa kulazimisha ndoa kila kati yetu!umeondoa ubaguzi japokuwa sasa kisiwa chetu kimejaa wateja wa madawa ya kulevya na mashoga.
we michuzi kama watu tunatoa maoni huyatundiki kwa sababu tu yako huru si ya kiCCM basi funga blog yako uende ukawe mjumbe wa NEC,tumechoka na upuuzi wako
ReplyDelete