gavana wa dar mh. abbas kandoro akipokea mchangowa milioni 3 (madafu) toka kwa bosi wa mauzo wa mkoa wa kampuni ya bia mama consolata Adam ikiwa ni mchangowa kampuni hiyo kwa timu tatu za mkoa huo zionasophiriki taifa cup. imeamuliwa kwamba wilaya za ilala, kinondoni na tmk zipewe hadhi ya mkoa katika kombe hili linaloanza karibuni na kudhaminiwa na safari laga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kaka, Michuzi hapa ndio tatizo langu linapoanzia, Je kweli kama makampuni yote yalipo Dar yanatoa misaada kwa Shule, Vikundi, Club na taasisi zingine nyingi za Dar, mnyonge wangu wa Kasulu au Tunduru, Ikolo, Nkansi au Nyambulikano, atakaa kweli kuendelea kufikiria kuwa maendeleo yatamfikia kweli???? Kwa kweli Hali ni Mbaya sana acha sote tukimbilie hapo jijini[SIDHANI KAMA KWELI TUNAWEZA KUKABILIANA NA TATIZO LA RURAL-URBAN MIGRATION KATIKA NCHI ZETU] Inanisikitisha sana kwa hayo makampuni pamoja na kuwa yanafanya biashara lakini si kwa hivyo!

    ReplyDelete
  2. Mkuu wa Wilaya ya Tegeta vipi?? twambie wilaya yako haishiriki??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...