Kama kuna mdau wa blog hii ya jamii ambaye anajua kutumia Java Programming Laanguage
Naomba awasilliane na mimi. Kuna Kazi na Kampuni kutoka England.
Sifa Anatikiwa awe Raia wa nchi za Africa Mashariki na asiwe na criminal record
Ahsante
Phillip Higenyi Kakuru
Ahsante
Phillip Higenyi Kakuru
ICT Resource/WebdesignICT MOVEMENT
Tel: +256775669099
P.O Box 5772
Kampala
decalaring Variables:
ReplyDeleteint x=20;
int y=2;
int a=y+x;
System.out.println(a);
22
ahhh nimesahau zingine kidogo, lakini labda ntapata ngoja niApply tu. tehetehetehe
siyo Laanguage bana toa a moja
ReplyDeletembona utasababisha nisi-apply bure kwa kukuona msanii!
mi9 najua JavaScript semeni nichukue kazi hiyo!MULOX
ReplyDelete