baada ya kukonga roho za wadau usiku wa miss tz UK wiki iliyopita ijumaa hii banana zahir ally zorro na afsa kazinja watapeleka 'presha' ukumbi maarufu wa club afrique ulioko canning town, london. hii ni kutokana na maombi ya wengi waliowakosa katika shoo ilopita na pia wale ambao hawakuwafaidi vilivyo siku ile ya siku. kazi kwenu wadau wa ukerewe...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2008

    hawa kina banana alikiba mbona wanaishia ukei tuuu us vipi hamjui kama us watu ndo wana hela zaidi tunahitaji mambo yenu sana hasa wewe alikiba ungejua kila kukicha tunavyocheza nyimbo zako ungefunga safari haraka sana kuja huku kutupa historia ya demu wako wa kigoma.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 19, 2008

    Na nyie uongozi wa Club Afrique muache tamaa zenu kwa Ali Kiba mliandika entry £10 tulipofika mlangoni tunaambiwa £15 sasa ni Banana na Hafsa mmetuandikia Entry £10 ila naamini yatakuwa kama ya Kiba. Tamaaaaaaa zenu wacheniiiii !!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 19, 2008

    Kweli kabisa huu uongozi wa club Afrique usilete usanii, kama kiingilio ni £10 na iwe hivyo sio kutuzingua kama walivyotufanyia siku ya Kiba.Mjumbe hauwawi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 19, 2008

    Nyie watu wa Us mnajidai mna hela umeona viingilio vyenu huko ni $10, huku Uk ni £10.Kwahio ona tofauti hapo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 19, 2008

    nyie waungwana sio club afrique to hata basement pale tuliambiwa £10 kufika ikawa £15 mlangoni.zimetangazwa hadi kwenye posters ni £10,ila wanabadilisha bei.huu ni uongozi wa bongouk ndio tulalamike bwana!

    wewe anon 1 sijui unaongea pumba gani,eti us ndio wana hela zaidi.haya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...