FILIMBI YA KUASHIRIA KWAMBA SASA NI WAKATI WA MAPUMZIKO IMELIA NA SI TAIFA STARS WALA CAMEROUN WALIOPATA BAO KWENYE MCHUANO WAO WA KUWANIA NAFASI YA KUCHEZA KOMBE LA DUNIA.
HALI YA MCHEZO NI KAWAIDA KABISA NA WAKATI ETO'O HAJAONESHA CHECHE ZAKE, RIGOBERT SONG KAPEWA TENDA YA KULA SAHANI MOJA NA MSHAMBULIAJI WETU NIZAR KHALFANI. YAANI KILA SEHEMU YUKO NAYE.
NA HABARI KUTOKA KAMPALA ZINASEMA WAKWE WAMESHAMCHAPA ANGOLA 2-0 KABLA YA HAFTAIMU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2008

    Tupe ishu kaka michu

    naona tumejitahidi kwa hizo dk 40,ila hujatuambia vipi..tunashambulia au ndo hata 18 hatuvuki?

    wakaze mat#$o angalau droo inatosha

    Nyaningedere

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2008

    kaka michu mbona blog yetu ina tarehe 2 tofauti...tushike ipi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...