twanga inazidi kupepeta kwa muziki moto na shoo ya kufa mtu lidaz klabu kila jumapili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2008

    sasa hizo winter boots ndugu yangu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2008

    ha ha ha ha......jamani mmeziona hizo boots?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 24, 2008

    Hizi winter shoes kwenye joto la 25c duu akizivua lazima zitakuwa zinatema cheche..hongera mdogo wangu Lillian Internet..hujambo??

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 24, 2008

    Twanga mje huku mikoani mara kwa mara kwani nyie hamna mpinzani. Karibuni Tanga, Moshi na Arusha tafadhali tuje kutwanga na kupepeta pamoja

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 24, 2008

    Michu unakumbuka hii?

    " Twanga pepeta ndo orijino, hii si twanga koboa"

    mwisho wa kunukuu maneno ya Mdau pale leaders Club wakati nashuhudia live ukali wao,kabla ya kurudi hapa leo ambapo bado tunalia kwa timu tuliyoipenda ya Uholanzi kupoteza mchezo kwa Warusi ambao hatukuwategemea!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 25, 2008

    KAMA WEWE ".MJAMZITO." HAKUNA RUKSA KUDENSI HAPO...IT IS OKAY KUPUNGUZA "MATUMBO"

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 25, 2008

    Jamaa yangu kabaki anashangaa Ceiling Board nyeupe? tehe tehe tehe....

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 25, 2008

    aaaaii...nipe mgongo...mamawe...kimgongomgongo...aaaaaaii....mgongo..tena mgongo...kimgongomgongo...hadi laha!mmmmhhhh.....konoooooooz!Nipe gongo...nikupe mgongo..aaaiii..mamaweeee!twanga iko wapi?twanga iko huku! wapi? huku! kimgongomgongo! hii single itatoka hivi karibuni bado tuna matatizo na basata kuhusu compozishon!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 25, 2008

    hizo winter boots sijui nini,kachemsha mwenzangu dah!hhhahahaha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...