Home
Unlabelled
twanga yazidi kupepeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa hizo winter boots ndugu yangu
ReplyDeleteha ha ha ha......jamani mmeziona hizo boots?
ReplyDeleteHizi winter shoes kwenye joto la 25c duu akizivua lazima zitakuwa zinatema cheche..hongera mdogo wangu Lillian Internet..hujambo??
ReplyDeleteTwanga mje huku mikoani mara kwa mara kwani nyie hamna mpinzani. Karibuni Tanga, Moshi na Arusha tafadhali tuje kutwanga na kupepeta pamoja
ReplyDeleteMichu unakumbuka hii?
ReplyDelete" Twanga pepeta ndo orijino, hii si twanga koboa"
mwisho wa kunukuu maneno ya Mdau pale leaders Club wakati nashuhudia live ukali wao,kabla ya kurudi hapa leo ambapo bado tunalia kwa timu tuliyoipenda ya Uholanzi kupoteza mchezo kwa Warusi ambao hatukuwategemea!
KAMA WEWE ".MJAMZITO." HAKUNA RUKSA KUDENSI HAPO...IT IS OKAY KUPUNGUZA "MATUMBO"
ReplyDeleteJamaa yangu kabaki anashangaa Ceiling Board nyeupe? tehe tehe tehe....
ReplyDeleteaaaaii...nipe mgongo...mamawe...kimgongomgongo...aaaaaaii....mgongo..tena mgongo...kimgongomgongo...hadi laha!mmmmhhhh.....konoooooooz!Nipe gongo...nikupe mgongo..aaaiii..mamaweeee!twanga iko wapi?twanga iko huku! wapi? huku! kimgongomgongo! hii single itatoka hivi karibuni bado tuna matatizo na basata kuhusu compozishon!
ReplyDeletehizo winter boots sijui nini,kachemsha mwenzangu dah!hhhahahaha
ReplyDelete