Mwenye bizbo kushoto ni Mpeli Nsekela 'Kiongozi', Brand Manager wa Castle Lager ambayo ni Mdhamini Mkuu wa Kagame Cup 2008, akikabidhi vifaaa vya mazoezi katika kwa timu ya Uganda Revenue Authority (URA) ambayo ilikuwa mazoezini katika viwanja vya chuo kikuu cha Sokoine University of Agriculture huko mji kasoro bahari.


Katika kufanikisha michuano hii Castle Lager imekabidhi bib 22 na mipira 10 kwa timu zote 11 zinazoshiriki katika Kagame Cup 2008.

Hawa jamaa toka ukweni kwetu ni machachari kabisa na tayari imeilamba Rayon Sport ya Rwanda magoli 4-1 siku ya ufungizi wa Kagame Cup 12 July 2008 kwenye kiwanja cha hapo hapo kasoro bahari.


Timu nyingine ya nje ilioko kituo hicho cha Morogoro ni Awassa ya Ethiopia.Timu zote nyingine ziko Dar-Es-Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2008

    viwanja vya chuo kikuu cha Sokoine University of Agriculture huko mji kasoro bahari...sawa baba Michuzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...