MR BLUE AKA YOUNG BLUE (in red) AKIWA UGHAIBUNI TAYARI KULIANZISHA LIBENEKE LA SUMMER FIESTA UK, AKIWA PAMOJA NA PROMOTER WAKE DJ RULE KUTOKA BONGO FAMILY.
SHOO YA KWANZA ITAKUWA
GLASGOW ON SAT 26thJULY @ FAVELA NIGHT CLUB 17st JOHN STREET,
CLUB AFRIQUE- LONDON FRI 1st AUG
CLUB AFRIQUE- LONDON FRI 1st AUG
AND
CLUB SENSATIONS BIRMINGHAM SAT 2nd AUG.....
MORE INF
MORE INF
WWW.BONGOUK.COM
Mzee Michu ok asante kwa picha ya huyo dogo, tunamtakia kila la heri. Wadau tunataka update ya mechi ya yanga. Mkuu mbona unajisahau kutupa mavitu
ReplyDeleteYanga kajabishwa.Kabana kabana kaachia.
ReplyDeleteHaka katoto kana misifa kuna picha kamepiga huku kaameonyesha vidole vya kati juu.
ReplyDeleteWEWE ANONYMOUS WA 7.06PM UMENICHEKESHA KWELI HIYO PICHA YA MR BLUE ALIVYOPIGA KANAONYESHA VIDOLE VYA KATI JUU.HAHAHAAAAAAAAA NILIKUWA NIMEKASIRIKA KWELI LAKINI BAADA YA KUSOMA COMMENT YAKO NIMECHEKA.THANK
ReplyDeletedaah wabongo kumekucha njooeni tu msafishe macho,huyu naye sijui anakuja kwenye BIRTHDAY ya nani,khaa sijui ana MWALIKO au LA,,Welkamu MR bluu,,,,,,,,
ReplyDeleteMR.UK
Dogo nimeona picha moja kapiga anaonesha vidole vya kati.bado huyo ajapigwa makofi mawili kwa wakati mmoja kuzibua maskio yake.
ReplyDeletekitoto hiki kweli kina sifa..ila niki handsome.. punguza sifa zako za uswahilini ...
ReplyDeleteTuwekee habari za jinsi Yanga mayeboyebo a.k.a. chelsea midebwedo ilivyotwangwa acha masihara.
ReplyDeleteHaki ya nani huwa nacheka niwaonapo wasanii wa Bongo fleva. Hawa jamaa ni sawa na malimbukeni walioachiwa huru na baadaye hu-aribikia ukubwani. Sasa Kama huyu yanki ana sifa gani za kimuziki? Cha ajabu Bongo ni supa staa! Watanzania bwana kwa ujinga wa kujitakia, yaani tunaonekana wajinga kusifia ujinga bila sababu. Michuzi bwana tuwekee wanamuziki wa uhakika toka Bongo. Haya masuala ya flava ni vitu vya kupitwa. Yaani we mtu mzima na akili zako tena umetembea na kuona vitu vingi unaendekeza ujinga huu? Come on now.
ReplyDeletemiwani mikubwa uso mdogo,kisha sijui ushamba au nini yaani mara vijinguo vingine vinatokezea ndani, lakini wapelekeni shule za muziki wakuwe sio kuzuga kuwa mziki nikipaji tu,kwanza wote wanaimba kwaya kama ukifuatilia kwa makini,maana nyimbo zao zote zinafanana tofauti inakuwa ndogo sana,sasa sijui tatizo ni producer au ni wao?maana hata mimi nikitaka kujiita super star bongo naweza,maana naweza kutunga na kuimba nyimbo tena kwa style tofauti,lakini hawa wakiimba single moja tu wanaacha shule,wengine wanaanza vijipombi na vijibangi wanaishia kuwa malimbukeni tu!hamuoni hata mira wa bongo haukuwi kwa sababu hizihizi tu,mchezaji akiibuka siku mbili tu anaanza vijingono,vipombe ,vijisifa wanaishia ligi za taifa kwisha habari!
ReplyDeletehaya mrembo kaza buti tukuone unanjozi zipi kimziki!