MR BLUE AKA YOUNG BLUE (in red) AKIWA UGHAIBUNI TAYARI KULIANZISHA LIBENEKE LA SUMMER FIESTA UK, AKIWA PAMOJA NA PROMOTER WAKE DJ RULE KUTOKA BONGO FAMILY.
SHOO YA KWANZA ITAKUWA
GLASGOW ON SAT 26thJULY @ FAVELA NIGHT CLUB 17st JOHN STREET,
CLUB AFRIQUE- LONDON FRI 1st AUG

AND
CLUB SENSATIONS BIRMINGHAM SAT 2nd AUG.....
MORE INF
WWW.BONGOUK.COM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 25, 2008

    Mzee Michu ok asante kwa picha ya huyo dogo, tunamtakia kila la heri. Wadau tunataka update ya mechi ya yanga. Mkuu mbona unajisahau kutupa mavitu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2008

    Yanga kajabishwa.Kabana kabana kaachia.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 25, 2008

    Haka katoto kana misifa kuna picha kamepiga huku kaameonyesha vidole vya kati juu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 25, 2008

    WEWE ANONYMOUS WA 7.06PM UMENICHEKESHA KWELI HIYO PICHA YA MR BLUE ALIVYOPIGA KANAONYESHA VIDOLE VYA KATI JUU.HAHAHAAAAAAAAA NILIKUWA NIMEKASIRIKA KWELI LAKINI BAADA YA KUSOMA COMMENT YAKO NIMECHEKA.THANK

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 25, 2008

    daah wabongo kumekucha njooeni tu msafishe macho,huyu naye sijui anakuja kwenye BIRTHDAY ya nani,khaa sijui ana MWALIKO au LA,,Welkamu MR bluu,,,,,,,,
    MR.UK

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 26, 2008

    Dogo nimeona picha moja kapiga anaonesha vidole vya kati.bado huyo ajapigwa makofi mawili kwa wakati mmoja kuzibua maskio yake.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 26, 2008

    kitoto hiki kweli kina sifa..ila niki handsome.. punguza sifa zako za uswahilini ...

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 26, 2008

    Tuwekee habari za jinsi Yanga mayeboyebo a.k.a. chelsea midebwedo ilivyotwangwa acha masihara.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 26, 2008

    Haki ya nani huwa nacheka niwaonapo wasanii wa Bongo fleva. Hawa jamaa ni sawa na malimbukeni walioachiwa huru na baadaye hu-aribikia ukubwani. Sasa Kama huyu yanki ana sifa gani za kimuziki? Cha ajabu Bongo ni supa staa! Watanzania bwana kwa ujinga wa kujitakia, yaani tunaonekana wajinga kusifia ujinga bila sababu. Michuzi bwana tuwekee wanamuziki wa uhakika toka Bongo. Haya masuala ya flava ni vitu vya kupitwa. Yaani we mtu mzima na akili zako tena umetembea na kuona vitu vingi unaendekeza ujinga huu? Come on now.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 27, 2008

    miwani mikubwa uso mdogo,kisha sijui ushamba au nini yaani mara vijinguo vingine vinatokezea ndani, lakini wapelekeni shule za muziki wakuwe sio kuzuga kuwa mziki nikipaji tu,kwanza wote wanaimba kwaya kama ukifuatilia kwa makini,maana nyimbo zao zote zinafanana tofauti inakuwa ndogo sana,sasa sijui tatizo ni producer au ni wao?maana hata mimi nikitaka kujiita super star bongo naweza,maana naweza kutunga na kuimba nyimbo tena kwa style tofauti,lakini hawa wakiimba single moja tu wanaacha shule,wengine wanaanza vijipombi na vijibangi wanaishia kuwa malimbukeni tu!hamuoni hata mira wa bongo haukuwi kwa sababu hizihizi tu,mchezaji akiibuka siku mbili tu anaanza vijingono,vipombe ,vijisifa wanaishia ligi za taifa kwisha habari!
    haya mrembo kaza buti tukuone unanjozi zipi kimziki!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...