msanii maarufu wa ngoma za kihaya levina kasabila na kundi lake wakiwa kazini. hivi sasa levina anakaribia kufyatua albamu mpya ambayo kamshirikisha banana zorro ambaye anaimba kihaya. hapa wako katika shughuli moja ya harusi usiku wa kuamkia leo ukumbi wa diamond jubilee hall. ukibahatika kuwaona wakiwa kazini utasuuzika na roho yako, maana hawana masikhara...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Wadau nauliza Saida yupo wapi maana tunaona kimya.Hivi Banana Zoro ni Muhaya nini maana wote wanataka kuimba nae vipi hapo wadau?

    ReplyDelete
  2. Nawaimbe lakini naona wote wanafuata nyayo za Saida

    ReplyDelete
  3. Hivi huyu mwibaji anatoka Bukoba sehemu gani maana jina lake linafanana na msichana mmoja anatoka kijiji cha nyakigando-Bukoba vijijini) baba yake alikuwa mwalimu mkuu shule ya msingi kwenge...Mwalimu Kasabira nipe jibu wadau
    Ahasante

    ReplyDelete
  4. Owa mwaitu Bukoba! Otakuzoka bilebi! umepotelea wapi. Tinkamuulila Saida, naweza kupata mawasiliano yake?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 12, 2013


    Mbona hakuna chochote kinachoonyeshwa na badala yake tunaona alama ya hatari! Tulitegemea kumwona kimwana Levina akijimwaga! Kwa wale tunaomfahamu tunajua alivyo mshindani mkuu wa Saida.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...