msanii maarufu wa ngoma za kihaya levina kasabila na kundi lake wakiwa kazini. hivi sasa levina anakaribia kufyatua albamu mpya ambayo kamshirikisha banana zorro ambaye anaimba kihaya. hapa wako katika shughuli moja ya harusi usiku wa kuamkia leo ukumbi wa diamond jubilee hall. ukibahatika kuwaona wakiwa kazini utasuuzika na roho yako, maana hawana masikhara...


Wadau nauliza Saida yupo wapi maana tunaona kimya.Hivi Banana Zoro ni Muhaya nini maana wote wanataka kuimba nae vipi hapo wadau?
ReplyDeleteNawaimbe lakini naona wote wanafuata nyayo za Saida
ReplyDeleteHivi huyu mwibaji anatoka Bukoba sehemu gani maana jina lake linafanana na msichana mmoja anatoka kijiji cha nyakigando-Bukoba vijijini) baba yake alikuwa mwalimu mkuu shule ya msingi kwenge...Mwalimu Kasabira nipe jibu wadau
ReplyDeleteAhasante
Owa mwaitu Bukoba! Otakuzoka bilebi! umepotelea wapi. Tinkamuulila Saida, naweza kupata mawasiliano yake?
ReplyDelete
ReplyDeleteMbona hakuna chochote kinachoonyeshwa na badala yake tunaona alama ya hatari! Tulitegemea kumwona kimwana Levina akijimwaga! Kwa wale tunaomfahamu tunajua alivyo mshindani mkuu wa Saida.