
Michu,
Natumaini uko gado kama kawaida yako na unaendeleza libeneke.
Niko Juba - Sudan, napiga mzigo kwa siku mbili tatu, katika kutafuta mkate wa kila siku. Ile kutinga hotelini, Juba Grand Hotel, nikaiona hii ndinga.
Kwa kuwa mimi binafsi nahusudu sana mandinga, hii ikanichanganya sana, afu sio siri, back home, sija itia machoni kabisa! Afu sikujua kama Toyota nao wana mandinga kama haya. Ukiiangalia kwa fasta inaonekana kama Hammer.
Sasa naomba wadau wanisaidie kunifahamisha hii in Toyota ya aina gani?
Asante
Jay.
Sasa naomba wadau wanisaidie kunifahamisha hii in Toyota ya aina gani?
Asante
Jay.


Toyota fj cruiser
ReplyDeleteoyaa mdau jay hiyo ni TOYOTA FJ huku mitaa ya dubai ni zakumwaga.
ReplyDeleteJay, hiyo ni Toyota FJ Cruiser. Unaweza kutafuta maelezo yake kwenye intaneti.
ReplyDeleteToyota FJ Cruiser zilitengenezwa chache tu kwa ajili ya soko la Amerika ya Kaskazini lakini kutokana na mahitaji mengi zimekuwa nyingi zaidi.
Toyota FJ Cruiser ni gari ya kifahari, kama zilivyo Hammer na nyingine.
Ebwana hiyo huku kwetu Sydney twaita Toyota mkojo shehee.
ReplyDeleteHello
ReplyDeleteBwana mkubwa hiyo ni FJ CRUISER zina kama miaka 3 au 4 ,I am not sure lakini nadhani hi ni model mpya za zile ngiri mnazikumbuka jamani?
this is FJ CRUISER.
ReplyDeleteIn the future please check official web sites. In this case try:www.toyota.com and http://www.toyota.com/fjcruiser/index.html
KWA MACHO YANGU NADHANI HIYO NI JOHN DEERE AU MASSEY FERGUSON mwenye macho .....
ReplyDeletefundi kishushu
hiyo ni FJ cruiser 2008 model
ReplyDeleteHiyo gari dar ipo na mimi mwenyewe naidrive ni ya rangi ya blue. Toyota Hammer. Ninatafuta mteja No. yangu ni: 0784 390 310
ReplyDeleteKaka hiyo ni toyota ule muundoulikuwa ukijulikana hapa bongo kama "DUBE" angalia picha kwenye link (http://en.wikipedia.org/wiki/Image:TBJ40.JPG) Kwa kuwa ndiyo aliyokuwa akiiendesha Dumisani Dube, raia wa afrika kusini na kuligonga gari la marehemu Sokoine pale morogoro miaka ya 80........... nilipofuatilia kwenye net nimekuta hii-Toyota has recently introduced the FJ Cruiser, a modern SUV styled after the original FJ40. The FJ Cruiser (FJC) went on sale in the spring of 2006.(Source:http://en.wikipedia.org/wiki/Toyota_FJ40)
ReplyDeleteYou better GO and ask Simba Sports Club fanatic members I think they will be in the position of clearing your doubt as you can see that the MV is registered with their club abbreviation i.e. SSC 5108, what they can do is just to clearly peruse the registration card (original) where they can find the particulars of the MV.
ReplyDeleteHii ni ushuzi tu, eti kuna jamaa hapo juu anasema gari la kifahari, wewe magari ya kifahari ndo yanauzwa US$23,000 si hata Mzee Makamba angenunua.
ReplyDeleteHahah! Asante kwa wote mliomjibu lakini mimi nataka kumshauri huyo mdau siku nyingine usipate shida na kukosa usingizi sogelea gari kwa karibu soma maandishi yote na ukishindwa uliza hapo hapo ulipo kwani kuuliza si ujinga. Asante kwa picha
ReplyDeleteNi nyumbu special edition hiyo. Zinatengenezwa nyingi mno Kibaha for export only. Ingia site hii nyumbuspecialeditionforexportnakudanganya.com
ReplyDeleteHa ha haaaaaa
sasa wewe ukiwa unaishangaa hiyo gari ya kawaida tu ukija viwanja vya watu si unaweza ukapata matatizo wewe kwa kushangaa, hiyo toyota iko mitaani siku nyingi tu ni gari ya kawaida tu wala hakuna anayo ishangaa kwani kuna magari mengi tu ambayo unaweza ukayashangaa kabala ya hilo, any way kama ulivyo kwisha sema kuwa uko sudani basi sikushangai kwa kushangaa kwako pole mwanawani
ReplyDeletekazi unayo, uwe makini lakini kwani siku hizi watu huwa wanashangaa kibitozi kwani ukiwa unageuza shingo kila saa unaweza ukaishiwa kuwekewa hogo, kama bado unampago wa kuendelea kutembea hapa duniani
Mbega
wabongo bwana nyodo sana sijui tu watoto au vipi....Yaani mtu akishajua kitu basi inakuwa tabu....yeyey kauliza na ndio mara yake ya kwanza kuiona sasa nyie kama mmeshaiona si mumjibu yaishe...Kwani shida ipo wapi mpaka museme huko aliko sijui nini....that is very low.....kama wewe ulishaliona na hutaki kumjulisha cool let other people do it for you .........Inakatisha tamaa sana na inaonyesha jinsi tulivyoimmature....tembelea blog zingine za nchi za Africa ...people are so willing to help one another....We need to grow up and/or we need to change our attitudes
ReplyDeleteISE MDAU UMENIFURAHISHA SANA KWAKUWATOLEA UVIVU HAWA WANAO ONGEA MAMBO YAKUKATISHA TAMAA ILI TUENDELEE INAPASWA KUSAIDIANA KIMAWAZO LAKINI KUULIZA INAKUWA NONGWA WATU WENGINE WANAJIFANYA NDIO WANAJUA SAAAAANA HATA UJUE SANA VIPI LAKINI LAZIMA KUNAWANAOJUA ZAIDI YAKO NDIO MAANA WENZETU WA NCHI NYINGINE WAKIWA NJE YA NCHI ZAO WANASHIRIKIANA KULIKO SISI SISI TUNABAKI NYUMA KWASABABU YA MDOMO MDOMO WETU NA FITNA TENA MNAOONGOZA KWAKUSEMA OVYO WENGI NI WALIO NJE KUTOKANA NA KAULI TUNAZOZISOMA LAKINI UKWELI SISI TULIOBONGO NDIO TUNAONA WALIO NJEE KAMA WAMECHELEWA KIMAISHA SIO KWAMBA HATUJUI LINALOENDELEA HUKO
ReplyDeleteMDAU
Ni kweli wa-Tanzania tuna matatizo hasa wengi waliojifanya kwenda nje ndio wanaongoza kusema ovyo, mimi nahisi ni limbukeni na hasa hawa wanaoenda sasa wanajifanya kujuwa kila kitu, ukilinganisha na wale waliokuwa wanaenda zamani wengi wao walikuwa wanaenda kusoma, wasomi, si hawa wa sasa wanaoenda kwa green card, wengine kwa kusota na kudanganya bolozi kuwa wanaenda kusoma kumbe wanaenda kufuta mavi wazee wa kizungu basi wanaona kama ndo wao wanajuwa kila kitu, kumbe maisha yao hayana hata tofauti na maisha ya Tanzania na pengine wako watu Tanzania wana maisha mazuri na hata elimu nzuri kuliko wao, jamani tuache hii tabia ya kujibishana ovyo tustarabike na tuwe kitu kimja tusaidiane, na kama mnataka kujifunzi tembeleeni blogs za ki-Uganda na ki-Kenya mtaoni wanavyoongea na vitu wanavyoandika ni vya msingi na kusaidiana ndo maana unaona kun a idadi kubwa ya waganda na wakenya wanoenda nje kuha ngaika a maisha kwa vile huwa wanapeana maelekezo namna ya kwenda mahala na kupata kazi hata hiyo green card Kenya kila mwaka huondoka watu zaidi ya 5000, wakati Tanzania siyo zaidi ya 200 kila mwaka, kwa vile watu hawaam,bizani kama kuna kitu kama hicho, wanafanya siri na uchoyo wa kusaidiana
ReplyDeleteMdau nakushauri ukipata kamuda tembelea na Japan,utaona gari ambazo haujawahi hata kuzifikiria kama zingekuwepo.
ReplyDeleteAsante
Vipi WADAU kuhusu jibu alilotoa Bw. KICHWABUTA MWENDANTWALA hapo juu ???? Je linakidhi haja ????
ReplyDeletehapa bongo lipo na nimeliona. lina rangi ya blue na mashavu meupe
ReplyDeleteWabongo wengine majishebedua. Kuweni wastaarabu. Mjibu mlichoulizwa. Kwenda huko imekuwa tabu. For your information kwa nyie mnajishebedua,kila mtu hapa dunianiani lazima kuna jambo asilofahamu kiufasaha na lazima alishangae. Huwezijua kila kitu bwana.
ReplyDeleteBILA SHAKA HIYO ITAKUWA NI VALMET.
ReplyDeletehiyo ni Honda Civic ;)
ReplyDeleteJ/k ni FJC kama wanavyosema wazushi hapa,
Boost3D.
ni kweli wabongo tumatatizo, mfanonilishashuhudia wabongo ulaya wanatembea kwenye theluji halafu mwenzao katereza kadondoka wakaanza kumcheka na kumkebehi jinsi asivyojua kutembea kwenye theluji, nyuma yao kaja mzungu mwenyeji kamsaidia kamwinua, yaani noma wazungu wote wanawaangalia wale wenzao walipata aibu sana. Wabongo tuache kujifanya tunajua tusaidiana, hamna mtu aliyezaliwa anajua kila kitu!!!!
ReplyDelete