February 2005: hapa ni maeneo ya chalinze ambako JK akiwa kama mbunge na waziri wa mambo ya nje alikwenda kujionea mafuriko yaliyotokea jimboni kwake na kutoa pole. nyuma ya mkuu wa wilaya ya nanihii ni hayati jimmy elias enzi za uhai wake na nyuma yake ni mpiganaji richard mwaikenda. picha hii imeombwa na wadau wapiganaji wenzetu kama ishara ya kumuenzi na kumkumbuka mpiganaji jimmy elias aliyuefariki agosti 7 mwaka huu.

Ndiyo maana mara vacation Sudan, mara UK; ama kweli waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba! Kumbe JK ni mshikaji wako longtime ago.
ReplyDeleteDah braza sikujua kuwa weye ni memba wa mneli naona unaupuliza hapo traatiiib mpaka harufu naisikia ikitoka ktk globu, nshachanganyikiwa hapa mkuu ngoja namimi niwashe yangu
ReplyDeleteGOOD FRIENDS TAKE CARE OF EACH OTHER I CAN SEE YOU AND JK.
ReplyDeleteMheshimiwa Ambasadaa na Mkuu wa wilaya ya nanihii nakupa heko zako kwa kuwa upo mstari wa mbele kuunga mkono bidhaa za asili? Naona Unapat a ile ki2 mtaani kwetu wanaita "SONYO" duh hii kali. Sasa mbona wengine wapo kwenye mtumbwi na wengine kwenye maji au mlikuwa mna act Filamu?
ReplyDeleteMimi nilishapiga kazi za uvuvi, bila kupata kitu hauwezi kuusogeza mtumbwi maana kasia lenyewe tu lina kama kilo 40 hivi
ReplyDeletethats why i love this man... he is so down to earth! and iam in love with him. guys if u can contact him tell him i want him. yes the president.
ReplyDeleteKUMBE UMETOKANAE MBALI, HATUTASHANGAA SIKU MOJA WEWE KUWA AMA WAZIRI AU KUPELEKWA NJE UKAWE BALOZI, NDO MAANA ULIKUWA SHABIKI MKUBWA WAKATI WA UCHAGUZI WA RAIS, WA-ARABU WA PEMBA HUJUWANA KWA VILEMBA, KUMBE WATU WAKIANDIKA HABARI ZA KUMPONDA KIKWETE WEWE UNATUCHEKA TU.
ReplyDeleteJamani kweli mnaosoma hii blog wote watoto wa juzi. Jamani Michuzi wa long time huko daily news, hamkumbuki articles zake??? Ikulu siku yoyote huyo nyie subirini tu. Hivi Michuzi enzi zile ulipata tuzo ya nini tena miaka ya 1980s au 1990s maana toka hapo nilianza kuwa makini na habari zako.
ReplyDeleteKweli Ndege wa Rangi Moja huruka Pamoja!?
ReplyDeleteHaya Bwana Michuzi, Karibu sana Marekani JK Akiruka tena..
Mmmh! Haijambo,naona ilikuwa mzinga wa pikiniki.
ReplyDelete