Home
Unlabelled
ze fulanazzz?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
madauuu tafadhariii ndugu....mfano wa fulana "ndisheti" ulikwisha bandikwa bloggguni.hii si yenyewe
ReplyDeletejamaniiiii astaghafirulah mwacheni babu wawatu ale EID msimuingilie na fulana yake jamani duh hahaah zambi haha haifai mnataka kumvuwa haki yake jamani pengine sharifu huyo msiende ovyo mkarukia nyie tu. from Zaramo
ReplyDeleteHuyo mzee ni mwanamziki wa bongo flava "underground" nafikiri wengi hawamtambui.
ReplyDeleteHuyu mzee ni binadamu mwenye kustahili heshima na haifai kuchukua picha yake na kuianika hadharani akiwa katika hali kama hii. Nina hakika aliyeiweka hangependa baba yake, mjombake au babu yake aanikwe kwa namna hii. Nashauri iondolewe mara moja...
ReplyDeleteAl, vitu vingine ni jinsi unavyotafsiri wewe. Zimewekwa picha za watu wengi humu toka pembe mbalimbali za Tanzania na dunia kiujumla lakini hakuna hata moja iliyolalamikiwa kuwa wamekosewa heshima.
ReplyDeleteIla na huyu mzee, nadhani kwasababu ni maskini anayeomba, we umetafsiri kuwa ni kama kumdhalilisha na kumkosea heshima. Nafikiri ni wewe ndio una prejudice na judgement akilini mwako, maana hukufikiria suala la Tee, umeanza kufikiria mengine.
Aliyemweka hapa kaweka kwa ajili ya T-shirt na si vinginevyo. Ni kama tu jamaa wa Brazil na wengineo walivyowekwa