Kaka Michuzi, salaam...
Huyu mzee kuna mdau kamwona mahali,

cheki kama hii ndo ze fulanazz basi tukamrukie
Mdau
------------------------------
Mdau!
hapana. sio yenyewe, ze fulanzzz ya jamii kola nyeupe. mwache babu wa watu ale Iddi kwa raha zaka
-michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. madauuu tafadhariii ndugu....mfano wa fulana "ndisheti" ulikwisha bandikwa bloggguni.hii si yenyewe

    ReplyDelete
  2. jamaniiiii astaghafirulah mwacheni babu wawatu ale EID msimuingilie na fulana yake jamani duh hahaah zambi haha haifai mnataka kumvuwa haki yake jamani pengine sharifu huyo msiende ovyo mkarukia nyie tu. from Zaramo

    ReplyDelete
  3. Huyo mzee ni mwanamziki wa bongo flava "underground" nafikiri wengi hawamtambui.

    ReplyDelete
  4. Huyu mzee ni binadamu mwenye kustahili heshima na haifai kuchukua picha yake na kuianika hadharani akiwa katika hali kama hii. Nina hakika aliyeiweka hangependa baba yake, mjombake au babu yake aanikwe kwa namna hii. Nashauri iondolewe mara moja...

    ReplyDelete
  5. Al, vitu vingine ni jinsi unavyotafsiri wewe. Zimewekwa picha za watu wengi humu toka pembe mbalimbali za Tanzania na dunia kiujumla lakini hakuna hata moja iliyolalamikiwa kuwa wamekosewa heshima.

    Ila na huyu mzee, nadhani kwasababu ni maskini anayeomba, we umetafsiri kuwa ni kama kumdhalilisha na kumkosea heshima. Nafikiri ni wewe ndio una prejudice na judgement akilini mwako, maana hukufikiria suala la Tee, umeanza kufikiria mengine.

    Aliyemweka hapa kaweka kwa ajili ya T-shirt na si vinginevyo. Ni kama tu jamaa wa Brazil na wengineo walivyowekwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...