







Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
tobaaaa kafula kamerudi
ReplyDeleteHarusi imependeza sana halafu walikuwa free sio yale mambo yakuwa maharusi wamezubaa
ReplyDeleteKweli hata mimi nimefurahi sana kuona for once bibi harusi Tanzania ametabasamu kwenye picha na kuchangamka with her new husband!Very nice and many congratulations. I wish this beautiful couple a blessed marriage. Now if only Tanzanians in general wangepunguza kucheat wakiwa kwenye ndoa basi ntajua kweli tunafanya jambo la maana.
ReplyDeletesio siri harusi nimeipenda haswa haswa bwana harusi yuko so charming and happy.thats lovely
ReplyDeleteharusi poa lakini michuzi uwe ukiweka picha za watu wasiokuwa popular basi angalau weka na identities zao zilizokamilika ili waanze kufahamika angalau kidogo kidogo. Vinginevyo kama ni kutuonyesha picha nzuri sawa then hakuna sababu ya kuandika jina kwa mtu mabaye shida kumjua ni nani katika jamii. Kumbuka blog yako imeishakuwa ni ya jamii inasomwa na watu wengi so habari na picha zinapswa kugusa hisia za wengi
ReplyDeleteHongera Ditto kwa kuoa, Mungu awabariki na ndoa yenu...
ReplyDeleteTimeo
Hongereeeni sanaaaa maharusi.Michuzi umefungua Ramadhan juzi tu umeshaanza kujichanganya,hausindikizi kidogo mwezi mtukufu?(Joke).Walipendeza siyo siri.
ReplyDeleteDu Mzee dochi,
ReplyDeletemie nilikuwa sijui kama wewe ni bingwa a ngwasuma; nilifikiri ilikuwa ni yale madanki pale mbagala. Sasa hapo naona kakosekana Brown mollel Karugaba Angelo, Cathber rafael na ruta tu.
Hongera baba
This is great, Im happy to see these happy people! The groom luks like mtu wa Ngwasuma kwa sana. Big Up. Allawi
ReplyDeleteMichozi .
ReplyDeleteLEBOZ! LEBOZ ! LEBOZ!
UMEJITAHIDI KUIKATA LAKINI NIMEIONA .......PICHA YA TATU TOKA JUU.
Lahaula.....kafulana cha jamii(jersey) kameludi. Imekuwa tabu...
ReplyDeleteCongratulations Agnes! You all looked fantastic and looks like the wedding was a great success...
ReplyDeleteI wish you all the best in your newly acquired status... let no one lie to you, a good wife brings pride not only to the husband but to her family too...
Marriage is an institution of love and love only should take center stage...I know it is not a bed of roses, neither is it a fairy tale, but whatever obstacles marriage has LOVE will always conquer. You should all work hard to maintain it and trust me the rewards will be endless...
May God bless you with children so beautiful and sweet...and friends like us to always support you...
God Bless you
Hope
michuzi hongera zake bwana wakatoliki hudumisha ndoa zao daima, hongera mungu awe nanyi milele na milele, hongera dito, andy yuko wapi siku hizi kuna mtu ana details zake. mtoto wa masili umeamua kuoa afadhali umetulia greetings kwa kina masili.
ReplyDeleteHonger sana Dito na Agness,
ReplyDeleteDito umerudi Dsm moja kwa moja au unarudi tena UK?
Hongera sana sana ,mmpendeza sana jamani .Godbless you .
Assey -JAPAN (BAF mzumbe 2003)
Inapendeza inafurahisha .Couple imetulia.Napenda kusimama kinyume na shetani,Vinyamkera, Wanafiki,Mashankupe wasithubutu kuisogelea ndoa hii.
ReplyDeleteMzee wa neno TZ.
Ni benedict rulegula? Hongera sana sana school mate wa Mawenzi Sec Moshi. Wapi Coletha Rulegula?!!
ReplyDeleteHongera sana Busunzu, imetulia kinoma -- Mapigo
ReplyDeleteCongrats Ditto!!
ReplyDeletemichuzi naona the furana ndani ya nyumba.harusi ilipendeza bibi harusi bomba kichizi.
ReplyDelete