ukumbi wa stallion maeneo ya barracuda karibu na msasani beach (unapinda shoto baada ya makao makuu ya jkt) unazidi kupata umaarufu kwa uzuri wake wakati wa sherehe. kwa wenye kutaka kufanya ambo hayo wacheki na jamaa kupitia +255 786 418 148
ze fulanazzz imerudi leo. amko juma kaileta na svandinavia. basi ile pyeeee mnuso kwa dito ukumbi wa stallion usiku huu
bw. harusi akiondoka vibaya vibaya na ngwasuma benedict (dito) na agnes kabla ya kumeremeta rasmi kanisa la mtakatifu petro dar jioni hii
msafara kuelekea kwenye mnuso waanza
ndani ya limozzzz
marafiki wakiyarudi
oyaaaaa... mambo ya kijoti-joti




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. tobaaaa kafula kamerudi

    ReplyDelete
  2. Harusi imependeza sana halafu walikuwa free sio yale mambo yakuwa maharusi wamezubaa

    ReplyDelete
  3. Kweli hata mimi nimefurahi sana kuona for once bibi harusi Tanzania ametabasamu kwenye picha na kuchangamka with her new husband!Very nice and many congratulations. I wish this beautiful couple a blessed marriage. Now if only Tanzanians in general wangepunguza kucheat wakiwa kwenye ndoa basi ntajua kweli tunafanya jambo la maana.

    ReplyDelete
  4. sio siri harusi nimeipenda haswa haswa bwana harusi yuko so charming and happy.thats lovely

    ReplyDelete
  5. harusi poa lakini michuzi uwe ukiweka picha za watu wasiokuwa popular basi angalau weka na identities zao zilizokamilika ili waanze kufahamika angalau kidogo kidogo. Vinginevyo kama ni kutuonyesha picha nzuri sawa then hakuna sababu ya kuandika jina kwa mtu mabaye shida kumjua ni nani katika jamii. Kumbuka blog yako imeishakuwa ni ya jamii inasomwa na watu wengi so habari na picha zinapswa kugusa hisia za wengi

    ReplyDelete
  6. Hongera Ditto kwa kuoa, Mungu awabariki na ndoa yenu...

    Timeo

    ReplyDelete
  7. Hongereeeni sanaaaa maharusi.Michuzi umefungua Ramadhan juzi tu umeshaanza kujichanganya,hausindikizi kidogo mwezi mtukufu?(Joke).Walipendeza siyo siri.

    ReplyDelete
  8. Du Mzee dochi,
    mie nilikuwa sijui kama wewe ni bingwa a ngwasuma; nilifikiri ilikuwa ni yale madanki pale mbagala. Sasa hapo naona kakosekana Brown mollel Karugaba Angelo, Cathber rafael na ruta tu.

    Hongera baba

    ReplyDelete
  9. This is great, Im happy to see these happy people! The groom luks like mtu wa Ngwasuma kwa sana. Big Up. Allawi

    ReplyDelete
  10. Michozi .

    LEBOZ! LEBOZ ! LEBOZ!

    UMEJITAHIDI KUIKATA LAKINI NIMEIONA .......PICHA YA TATU TOKA JUU.

    ReplyDelete
  11. Lahaula.....kafulana cha jamii(jersey) kameludi. Imekuwa tabu...

    ReplyDelete
  12. Congratulations Agnes! You all looked fantastic and looks like the wedding was a great success...

    I wish you all the best in your newly acquired status... let no one lie to you, a good wife brings pride not only to the husband but to her family too...

    Marriage is an institution of love and love only should take center stage...I know it is not a bed of roses, neither is it a fairy tale, but whatever obstacles marriage has LOVE will always conquer. You should all work hard to maintain it and trust me the rewards will be endless...

    May God bless you with children so beautiful and sweet...and friends like us to always support you...

    God Bless you
    Hope

    ReplyDelete
  13. michuzi hongera zake bwana wakatoliki hudumisha ndoa zao daima, hongera mungu awe nanyi milele na milele, hongera dito, andy yuko wapi siku hizi kuna mtu ana details zake. mtoto wa masili umeamua kuoa afadhali umetulia greetings kwa kina masili.

    ReplyDelete
  14. Honger sana Dito na Agness,
    Dito umerudi Dsm moja kwa moja au unarudi tena UK?
    Hongera sana sana ,mmpendeza sana jamani .Godbless you .
    Assey -JAPAN (BAF mzumbe 2003)

    ReplyDelete
  15. Inapendeza inafurahisha .Couple imetulia.Napenda kusimama kinyume na shetani,Vinyamkera, Wanafiki,Mashankupe wasithubutu kuisogelea ndoa hii.
    Mzee wa neno TZ.

    ReplyDelete
  16. Ni benedict rulegula? Hongera sana sana school mate wa Mawenzi Sec Moshi. Wapi Coletha Rulegula?!!

    ReplyDelete
  17. Hongera sana Busunzu, imetulia kinoma -- Mapigo

    ReplyDelete
  18. michuzi naona the furana ndani ya nyumba.harusi ilipendeza bibi harusi bomba kichizi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...