Home
Unlabelled
Bwawa La Maini Oyee!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hao wawili Ngatunga na Kitomari majina yenu yaani nayakumbuka sana lakini sikumbuki nilisoma wapi na hawa watu. Hata sura zao nazikumbuka kabisa.
ReplyDeleteI am glad to see you guys lakini poleni kwa kufungwa.
Sio kwamba nawapongeza kwa ushindi ila nafuraha kwamba record ya chelsea imeondoka na confidence ya chelsea sasa hivi itakuwa fragile maana they have nothing to defend for their record is gone ,And tell you what Hull City play pretty much like liverpools perfomance yesterday,Kwahiyo chelsea wanakazi Hull play as a team and attack as a team mbona mimi macho tu! Liverpool najua mtashikwa karibuni tu team ndogo mtadondosha point and we will take the opportunity! Cant wait for liverpool,chelsea and Arsenal wakija Old trafford next year tukawamalizie.
ReplyDeleteIla kuondoa ushabiki Liverpool Hongereni Kumbe Chelsea bila Drogba na Joe cole wanakuwa wehu ehh
William Uk
United for life
hongera wapenzi wote wa liverpool, chekeni kwa sasa lakini kama kawaida kombe la PL halipati ng'ooooooooooooooooo
ReplyDeleteHaya wadau waliokuwa wanasema...ohh bahati, ohh mpaka mtu apewe red card ndio wanashinda, sememi kingine sasa. Tunaelewa bado ni mapema sana, lakini tumewapiga bao Namba 1 na namba 2 wa premiership ya mwaka jana na tuko Ontop of the premiership table....hehehe. Bado Arsenal...hehehe
ReplyDeleteTupo juu tunatizama wote chini mpaka kwenye conference league. Nani kasema Bwawa la Maini sio Title Contenders? Bado vijukuu vya Wenger ndio wataanza kuona hatari. It has been long, we really need it this season!!!!
ReplyDeleteBwawa la maini, bwawa la bandama!!! mbona hamtuwekei SIMBA NA YANGA.Mh. balozi hii blog ushasema ni ya jamii, lakini ukweli una ubinafsi usiofichika, nakujua wewe ni simba damu, ilipofungwa na wewe ukafunga macho na masikio, hata kama upo na JK, lakini habari ulizipata ukatuminyia, naona utuambie kabisa ni blog ya michuzi sio ya jamii
ReplyDeleteHey Tito and your friends! I'm glad to see you! I miss Bongo! Greetings to all.
ReplyDeleteYour cousin,
Sweden.