Wadau Arden Kitomari, Michael Ngatunga na Tito Rwamushaija wakisherekea kipigo cha Chelsea jana pale Regency Park Hotel!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hao wawili Ngatunga na Kitomari majina yenu yaani nayakumbuka sana lakini sikumbuki nilisoma wapi na hawa watu. Hata sura zao nazikumbuka kabisa.

    I am glad to see you guys lakini poleni kwa kufungwa.

    ReplyDelete
  2. Sio kwamba nawapongeza kwa ushindi ila nafuraha kwamba record ya chelsea imeondoka na confidence ya chelsea sasa hivi itakuwa fragile maana they have nothing to defend for their record is gone ,And tell you what Hull City play pretty much like liverpools perfomance yesterday,Kwahiyo chelsea wanakazi Hull play as a team and attack as a team mbona mimi macho tu! Liverpool najua mtashikwa karibuni tu team ndogo mtadondosha point and we will take the opportunity! Cant wait for liverpool,chelsea and Arsenal wakija Old trafford next year tukawamalizie.
    Ila kuondoa ushabiki Liverpool Hongereni Kumbe Chelsea bila Drogba na Joe cole wanakuwa wehu ehh

    William Uk

    United for life

    ReplyDelete
  3. hongera wapenzi wote wa liverpool, chekeni kwa sasa lakini kama kawaida kombe la PL halipati ng'ooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  4. Haya wadau waliokuwa wanasema...ohh bahati, ohh mpaka mtu apewe red card ndio wanashinda, sememi kingine sasa. Tunaelewa bado ni mapema sana, lakini tumewapiga bao Namba 1 na namba 2 wa premiership ya mwaka jana na tuko Ontop of the premiership table....hehehe. Bado Arsenal...hehehe

    ReplyDelete
  5. Tupo juu tunatizama wote chini mpaka kwenye conference league. Nani kasema Bwawa la Maini sio Title Contenders? Bado vijukuu vya Wenger ndio wataanza kuona hatari. It has been long, we really need it this season!!!!

    ReplyDelete
  6. Bwawa la maini, bwawa la bandama!!! mbona hamtuwekei SIMBA NA YANGA.Mh. balozi hii blog ushasema ni ya jamii, lakini ukweli una ubinafsi usiofichika, nakujua wewe ni simba damu, ilipofungwa na wewe ukafunga macho na masikio, hata kama upo na JK, lakini habari ulizipata ukatuminyia, naona utuambie kabisa ni blog ya michuzi sio ya jamii

    ReplyDelete
  7. Hey Tito and your friends! I'm glad to see you! I miss Bongo! Greetings to all.

    Your cousin,
    Sweden.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...