
msanii mashuhuri wa uganda jose chameleone (juu shoto akiwa na mama sweya wa tbl na msanii mr nice mwezi aprili 2006) inasemekana amevunjika miguu yote miwili baada ya kuanguka toka ghorofa ya tatu ya hoteli moja kubwa ya kitalii a-taun mwishoni mwa wiki. habari za uhakika toka kampala zinasema chameleone, ambaye alikuwa bongo kwa ziara ya maonesho, hivi sasa amelazwa hospitali jijini humo kwa matibabu.
uhakika wa nini kilimsibu msanii huyo bado unatafutwa lakini habari za awali zinadatisha kwamba alikuwa ameamka kitandani kwake na kuelekea kwa kutembea huku akiwa ndotoni (sleep walking, nadhani kwa kiinglishi) kwenye balkoni ya chumba chake na kula mwereka. globu ya jamii inafuatilia habari hii na itatoa taarifa kamili mara zitapopatikana
This is very sad news.I hope no one has attempted to finish him in our lovely Country.God forbid, we love him. we would still like to hear more new nice tracks from him. Get well soon Jose Chameleone
ReplyDeleteMdau,Cardiff
Pole sana Chameleone...i hope no one is trying to finish him as commented previously for sure...
ReplyDeleteIla kama alinyweshwa machimpumu yakamzidi nguvu ndo hapo chacha... atapona mtu wa kazi
Sio mkono wa mtu walisahau kumwambia bangi ya bongo kali sana. Kaka yangu alikua anajifunza kuvuta hii kitu alipokua kijana siku hiyo tulimwona anakimbia uchi nguo zote kavua baba alivyoitwa akakimbizwa hospital wakizania ni malaria. Kupelekwa hospital hamna malaria. Siku hiyo ndio ilikua mwanzo na mwisho wake wa kujaribu hiyo kitu.
ReplyDeleteMimi hapo nadhani either alikua high au anaugonjwa hawautambua wa akili
pole Chamilioni, mimi bado nakumbukaonesho lako la Ht,TX, U r the best, pona haraka urudi kazini love yo.
ReplyDelete