
10-04-2008
NYATI LOUNGE Essex,
NJ.
Alikiba ameahidi kuwachengua washabiki wote watakohudhuria kwa takriban masaa mawili non stop na vibao vyake murua kama CINDERELLA, MAC MUGA, NAKSHI NAKSHI na vingine sita alivyovitoa jikoni hivi majuzi.
AKSANTENI AND C U AT THE SHOW!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tafadhali Rekebisha:
ReplyDeleteAddress ndio hii:
Nyati Lounge
543 Martin Luther King Dr.,
JERSEY CITY, NJ
Thank You
Jamani waandaaji fanyeni basi mpango mumlete Ali Kiba Canada.
ReplyDelete