


pokea baadhi ya picha za Japhet Kaseba akiwa na wakurugenzi wa mchezo wa K1nchini Japan baada ya kufanikiwa kushinda nakupata nafasi ya kucheza mchezo huo mwakani.
mtembelee upate mengi zaidi kupitia http://japhetkaseba.com/
Mdau Japan
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
omg i can see his butt cheeks!! someone get him some nice boxing gears..lol mambo gani haya tena kakunja kikaptula juu !!
ReplyDeleteHongera sana kaka Kaseba! Lakini hichi kibukta mhh.... noma. Wadau siku nyingine mchangieni basi awe na vazi professional! Aibu!
ReplyDeleteaibu gani jamani kwenda kukunja bukta?? shame to Tanzania, huyo jamaa ni mshamba ile mbaya au ndio watoto wa tambaza walivyokuambia??, hawajaenda shule wale ni yale magofu ya urithi walioachiwa na babu yao na wala sio baba yao ambayo wanagombana na kila siku! achana nao kabisa washamba wale "NO EDUCATION NO LIFE".
ReplyDeletebukta tafkiri wachezaji wa wanne star
ReplyDeleteYou know what! "simple mind discuss people, object..." you are missing the main issue here which is WOW Tanzania King of kmick boxing beating the Japanese hero in Japan. Nahisi ninyi ni mlochnagia kuhusu kipensi tu na butt cheeks mlikuwa wa kwanza kusifia mambo ya watu wengine ili mladi ni foreigners.... Acheni jizo Kwa taarifa yenu Japhet is proffesional na hani khali ngumu kama ya wabeba Mabox... wa namna yenu.
ReplyDeleteHongera sana.
ReplyDeleteHaya mashindano hawapimwi uzito?
hehe wabongo nao kwa nyimbo kikaptula kina kunjwa kwa malengo saanyengine kina vi bag toka tanga na sumbawanga kwa hio lazimwa vikunjwe lakini yote tisa jamaa mzuri sana kawakilisha taifa lazima apate big up makofi kidogo kwa kwa kwa kwa
ReplyDeletehuy ndio nani biigwa wa tz au? m,ichuzi tuletee maelezo vizuri ratiba za michuano tulete vijana wakali wa kick bocking bongo awa jaribu
ReplyDeleteKaseba's short is commonly used by Mu Thai fighter around the world.
ReplyDelete